Mwanaume unapata wapi ujasiri wa kumuoa Mwanamke mrefu kukuzidi?

Mwanaume unapata wapi ujasiri wa kumuoa Mwanamke mrefu kukuzidi?

Hahaha..
Binadamu tuna maigizo ambayo dunia wala haijali. Inatupa nafasi ya kuishi kama viumbe wengine tu kisha tunakufa.

Wakati tunahangaika na kimo, weupe, unene Nature ipo busy ikituhesabia muda... ni Tik tok, Tik tok, Tik tok. Kaburi hili hapa mwisho wa igizo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nilichogundua,
Wafupi Wengi hawapend wafup wenzao,
Nna jamaa yangu mfupi sn,sidhan hata 5ft kafika
Ila tangu nimjue, wanawake zake wote ni supertall
 
Back
Top Bottom