Mwanaume unapata wapi ujasiri wa kumuoa Mwanamke mrefu kukuzidi?

Mwanaume unapata wapi ujasiri wa kumuoa Mwanamke mrefu kukuzidi?

Moja ya hasara kubwa kwa mwanamume ni kutojiamini mbele ya mwanamke na kutojua thamani na maana ya uanamume wake mbele ya mwanamke......

Hakuna mwanamke mwenye ujanja mbele ya mwanamume anayejiamini na kutambua thamani na nafasi yake mbele ya mwanamke hata kama uwe mfupu kama jagi.....
Sure
 
Ngoja nikusaidie au nikujazie jambo ili mada yako iwe na uzito. Mwanamke mrefu kibailojia huanzia futi 5. The desired height au kimo cha urefu ambacho ni standard ya uzuri kwa mwanamke ni kuanzia futi tano kamili hadi futi 5.9 asizidi hapo.

Mwanamke akiwa na kuanzia futi 6 hata wao wenyewe huwa hawafurahii kimo chao sababu kinawatoa katika muonekano wa mwanamke wa kawaida na kundi la wanawake wa kuanzia futi 6 wengi wao hawavutiwi na wanaume warefu kwa maana ya futi sita kwenda juu bali huvutiwa na wanaume wafupi au wanaolingana nao kimo. Hii ipo na ni scientific fact.

So kwenye hii mada yako kama umemaanisha hawa wadada wa urefu wa kuanzia futi 5 hadi 5.9 then hawa ni kawaida sana sababu on average huo ndio urefu wa mwanaume wanaume wengi ni kuanzia 5.5 kwenda juu wengi sana. Mwanaume akiwa below futi 5.5 huyu ni mfupi so mwanamke wa urefu kuanzia futi 5 kwenda hadi futi 5.9 huwa hawezi vutiwa na mwanaume below futi 5.5.

Ila kama unasema wale wanawake wa kuanzia 5.9 hadi futi 6.9 hao huvutiwa na wanaume wa average height ya mwanaume yaani from futi 5.5 and above but not more than futi 6.5 maana. Wanachangamoto zao ndio maana huwa hawapendi.

Kwa mwanamke huwa anakuwa comfortable zaidi na mwanaume mwenye zile sifa zinazokubalika zaidi katika jamii zote na kuonekana ni standards za kumdefine mwanaume.
 
Habarini wadau,

Ramadhan Kareem to all Muslim in here...!

Wewe ni mwanaume mfupi, Andunje, Nyadundo kama mimi, kwanini una kiherehere cha kuoa Mwanamke mrefu kukuzidi? Mwanamke akikuzidi urefu ni sawa na kukuzidi akili. Kwanza hata wenyewe hawatupendi Wanaume wafupi

Huu ni utafiti rasmi kwa dunia nzima na references zipo, sijawahi kusikia Mwanamke anasema anapenda mwanaume mfupi hasa mwenye kitambi

Kwanza kumpata lazima uwe na pesa. Na yeye atakukubali kwa pesa zako ila sio kwa sura yako, umbo, na caring nyingine yoyote.

- Mwanamke Mrefu ukipiga naye picha utakosa hata confidence na hataipenda hiyo picha....kifupi picha itakuwa mbayaa

- Mwanamke Mrefu kukuzidi hata kutembea nae au kwenda nae popote hata kama mmependeza vipi utakosa confidence nayeye hatafurahia hilo [emoji23]

- Mwanamke mrefu kukutambulisha kwa wenzie au kwa ndugu zake halafu kama umekaa ukaambiwa usimame kuna watakaoanza kukucheka, watasema ana hela lakini......blah blah kibao

- Mwanamke Mrefu kukuzidi hata mkilala kitandani na wakati wa sex na kuchange positions...hahaha sisemi zaidi

- Mwanamke mrefu kukuzidi siku mkizinguana atapata sababu ya kukusema vibaya au kukutania katika jamii

- Mwanamke mrefu kukuzidi siku mkigombana ataweza kukupiga, hasa makonzi [emoji23]

NB: Kama wewe mfupi usimuoe mwanamke mrefu kukuzidi hasa kuanzia 8 Inches na kuendelea mpaka futi kadhaa, muoe mfupi ili uenjoy mapenzi na kuwa huru katika maamuzi na mitoko mbalimbali

Shauri yenu Andunje wenzangu muonekane Watoto mbele ya wake zenu.


====
Pia soma: Mwanaume mfupi kumuoa mwanamke mrefu
Hivi na sisi WAFUPI situnaingia kundi la walemavu au?
 
Nilikuwa napenda hiki kipindi cha mbilikimo, Little People Big World cha TLC..

Huyo msichana kaolewa na mbilikimo...
Nachosikitika watoto wao wote watatu wametokea mbilikimo

images (58).jpeg
images (57).jpeg
 
Back
Top Bottom