Mwanaume unawezaje kulala uchi wa nyama hata kama huyo ulie lala nae ni mke, mchumba au mdogo wako?

Mwanaume unawezaje kulala uchi wa nyama hata kama huyo ulie lala nae ni mke, mchumba au mdogo wako?

Ulijuaje?????
1727464297164.jpg
 
Huo ujasiri wa kuchojoa nguo zote hadi za ndani mnautoa wapi na unakoroma kabisa dah aise?

Mmewajazeje ndrugu zangu wanaume?

Na je, ni vizuri au

Huo ujasiri wa kuchojoa nguo zote hadi za ndani mnautoa wapi na unakoroma kabisa dah aise?

Mmewajazeje ndrugu zangu wanaume?

Na je, ni vizuri au vibaya?🐒
Je wewe kwenye kuoga unaoga na nguo zako au unavua zote ? Kama hiyo kanuni yako ni sahihi basi lazima huitumie hata bafuni vinginevyo inakuwa imepoteza maana ...anaye oga uchi kabisa hana tofauti na anaye lala uchi
 
Zipo faida nyingi Kwa mtu Kulala bila nguo, nitataja Kwa uchache mfano;

~Hupunguza Kasi ya kuzeeka

~Kupata Usingizi wa kutosha

~Huzuia magonjwa ya ngozi

~Husaidia kupunguza uzito

~Hunogesha tendo la Ndoa,
Muda wowote mwenza wako anaweza kujihudumia, mathalani unaweza kushtuka usiku wa manane Mkeo ameshika maiki na kuanza kuimba, baada ya hapo kifuatacho ITV...

Binafsi nalala bila nguo huu Mwaka wa 5+, niliwahi kuacha Kulala bila nguo baada ya zile stori za Popobawa miaka ile ya elfu 2 😜
 
Back
Top Bottom