Mwanaume unawezaje kulala uchi wa nyama hata kama huyo ulie lala nae ni mke, mchumba au mdogo wako?

Mwanaume unawezaje kulala uchi wa nyama hata kama huyo ulie lala nae ni mke, mchumba au mdogo wako?

Ni mzoea tu sisi tumekua kwenye familia za watoto wengi tulikuwa tunalala kama watu 7 hivi kwenye turubai tuama mifuko ya sandarusi au hata ngozi. Tulikuwa tunalala na nguo zote maana hakuna shuka. hata nilienda geto shule shuka nilikuwa sifuniki kabisa labda kama kuna baridi kali.

Hadi naoa shuka ilikuwa mtihani kujifunika na kulala bila nguo . mfano kila nikipiga mzagamuo kwa wife nilikuwa na vaa pensi nalala nikitaka tena navua.Saivi nimezoea kuna muda nalala uchi kabisa na sioni shida yoyote sema bukta inakuwa kwenye mto huko kama ni show show tu.

sioni maajabu kulala uchi kama umeoa ila kulala uchi na mdogo wako wa kiume sio poa maana kuna muda unaota unaipiga hadi unapizi imagine unapiz kwa dogo lako basi
 
Back
Top Bottom