Mwanaume: Usijaribu kujitoa kafara kwa mambo yafuatayo

Sasa hiyo hukumu si ipo kichwani kwa atakae amini? Ambae haamini inamhusu vipi Tena?
Huu ndio ujinga ambao watu wengi wanauwaza,hivi yani wahukumiwe wengine na wengine waachwe,maadamu MUNGU NI MMOJA,basi wote tutahukumiwa pamoja,ni swala la muda tu
 
Yani haya yote unayo yasema yako kichwani kwa wewe unae amini , ambae haamini Wala hizo Sio shida zake bwashee, 😅
NI KWELI KWA SASA HIVI KWASABABU YUPO HAI NA UZIMA UNAMDANGANYA SIO SHIDA ZAKE,LAKINI TRUST ME BWASHEE KILA MTU ATADHIBITISHA KWA MUDA WAKE UKIFIKA
 
NI KWELI KWA SASA HIVI KWASABABU YUPO HAI NA UZIMA UNAMDANGANYA SIO SHIDA ZAKE,LAKINI TRUST ME BWASHEE KILA MTU ATADHIBITISHA KWA MUDA WAKE UKIFIKA
Hii bado ni Imani tu, watu wana Imani maelfu kwa maelfu tofauti tofauti hivyo hizo ni Imani tu
 
Hata Mkeo anakuona wa maana Kwa vile una nguvu za kumhudumia.. Siku mambo yakienda Mrama hakuna rangi ataacha kukuonyesha.. Hata hao watoto anaweza kuwafundisha chuki dhidi yako..

Sometimes Ndugu zako wanaweza kuwa na huruma na msaada kwako kuliko Mkeo..
 
Iko applicable kwa wote acheni zenyuuu!

Aaah wapi. UKiona mwanamke anajitolea kumsaidia mwanaume jambo ujue ameshachukua calculator, ameshakokotoa balance sheet ya anachotoa (kiduch), na atakachokuja kupokea mbele ya safari (Mkwanja).
Imagine, kujibebisha nakuachia papuchi tu ananunuliwa kiwanja, ananunuliwa gari, anajengewa nyumba. This world buana. anyway, kupanga ni kuchagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…