Mwanaume: Usijaribu kujitoa kafara kwa mambo yafuatayo

Si kweli


CC Smart911
 
Mkee?

Wekeza kwa ndugu zako wa damu bila ubaguzi, kaka,dada na wadogo zako hao ndo ndugu zako, huyu mke atakuja kukuacha mdomo wazi
 
Umeandika madini matupu, hivyo jipe kipaumbele, jijenge zaidi kuliko unavyowajenga wengine, baadhi ya watu hawakumbukagi wema wa mtu
Huwa nawasisitizaga sana vijana kujipa kipaumbele na kuwa wabinafsi linapokuja suala la hela na mipango yao
 
Mke nae ni stranger tu ambae umekutana nae ukubwani akajiweka kwako kwa masilahi yake. Hao watoto wakiwa wakubwa wataanza kusema nani kama mama, kama vile baba haukufanya chochote.

Maisha ya sasa kwa mwanaume ni muhimu sana kujiandaa na nyakati zako za uzeeni wewe mwenyewe. Ni financial stability tu ndio guarantee yako uzeeni. Sio mkeo wala watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…