Mwanaume usimuanike mpenzi wako mitandaoni

Fact ni kuwa, ikiwa Watu wameamua kuweka mambo yao mitandaoni na hawavunji sheria yoyote sioni ubaya wowote. Kama ni furaha yao.

Ni sawa na mtu ka- post gari au nyumba yake alafu kuna mijitu inasema sio vizuri au ni ushamba.
 
Na hiyo ndio ilikuwa point yangu mkuu .
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Watibeli wamecharuka leo

Mtu kaleta hoja na anataka kutunga kisheria. Basi Watu wanamuambia afafanue. Anashindwa anaanza kulia na kurusha mayowe ya matusi.

Anataja matajiri sasa akiambiwa mbona hao kina Bill gate na matajiri wengine wametalakiana na wake zao na bado hawakuwapost wake zao. Anabaki anabwabwaja
 
Sasa hao aliowataja mtoa mada ni watu ambao maarufu mtandaoni lazima tutawaona, hilo sio tatizo.
Na kwa wengine ambao hawajulikani wakiekana status kwenye WhatsApp zao nao ni maisha yao na furaha zao.!!
Ingekuwa wanapost faragha zao hapo ndio ingekuwa hasara za mtandao
 
Fact ni kuwa, ikiwa Watu wameamua kuweka mambo yao mitandaoni na hawavunji sheria yoyote sioni ubaya wowote. Kama ni furaha yao.

Ni sawa na mtu ka- post gari au nyumba yake alafu kuna mijitu inasema sio vizuri au ni ushamba.
Kula tano πŸ‘Š
 
Wapi nimesema sio vizuri au hauruhisiwi kwenye andiko langu we una stress za mahakamani unampeleka mwanamke mahakamani akusaidie kuhudumia kweli dish lipo sawa wewe ungefanyiwa hivyo ungekubali ndio maana una stress punguza stress hivyo vitu vya kawaida.
 
We una stress nilikuwa sijajua mpaka mmepelekana mahakamani unajua kwenye social platforms unaweza ukajibizana na mgonjwa tupe mrejesho taikoni kesi imeishaje huko mahakamani na hyo kahaba wako uliyemuokota kidimbwi. View attachment 2902684

Kesi imeisha.
Nataka nije nimchukue huyo mkeo ambaye haum-post alafu nitampost mimi. Ili uelewe kuwa kuachana haina uhusiano na kumpost au kutokumpost πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Tuendelee niko hapa mtibeli mwenzio 🀣🀣🀣
 
πŸ˜€πŸ˜€
Sasa Mkuu hivi ulichoandika unakielewa au ulikuwa unaandika tuu?

Kwa hiyo ni vizuri au sio vizuri kumpost mwenza wako Mtandaoni kwa Mujibu wa mada yako?
 
Kesi imeisha.
Nataka nije nimchukue huyo mkeo ambaye haum-post alafu nitampost mimi. Ili uelewe kuwa kuachana haina uhusiano na kumpost au kutokumpost [emoji2][emoji2]
Mke wangu mimi mwarabu wa tanga siwezi ku mpost hata siku moja kama manara na dula makabila wanaibiwa mademu mimi ni nani ambaye niko huku nzasa nalima mapapai hata Dubai siijui.
 
Kesi imeisha.
Nataka nije nimchukue huyo mkeo ambaye haum-post alafu nitampost mimi. Ili uelewe kuwa kuachana haina uhusiano na kumpost au kutokumpost πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Oyoooooooooo!!!! Wifey tunaye πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio ileile concept kuwa Mwanamke WA Ofisini anazagamuliwa huko ofisini hivyo wanaume waoe golikipa.
Yaani kuna Watu wanafikiri kwa namna ya ajabu sana
Yani anaacha wa ofisini na kuoa golikipa harafu huyo galikipa mabodaboda na wauza mkaa wanapita naye hahahahaha.
 
[emoji3][emoji3]
Sasa Mkuu hivi ulichoandika unakielewa au ulikuwa unaandika tuu?

Kwa hiyo ni vizuri au sio vizuri kumpost mwenza wako Mtandaoni kwa Mujibu wa mada yako?
Sio vizuri kwasababu mapenzi yao ila wanatutukana sisi wanyonge ambao hatuna hatia maana kuna caption ukiziona unaweza sema umekosea kuoa.
 
Mke wangu mimi mwarabu wa tanga siwezi ku mpost hata siku moja kama manara na dula makabila wanaibiwa mademu mimi ni nani ambaye niko huku nzasa nalima mapapai hata Dubai siijui.

Mkuu embu tuachane na hasira kwanza.
Turudi kwenye hoja.

Kwa uelewa wako, Kumpost mwenza mtandaoni ni chanzo cha yeye kuchapwa au kuibiwa?
 
Fact ni kuwa, ikiwa Watu wameamua kuweka mambo yao mitandaoni na hawavunji sheria yoyote sioni ubaya wowote. Kama ni furaha yao.

Ni sawa na mtu ka- post gari au nyumba yake alafu kuna mijitu inasema sio vizuri au ni ushamba.
siyo vibaya hata kidogo kujianika mtandaoni, pia huwa sio shida kwenye hilo....

Ile ngumu na mbaya sana naonaga ni matokeo baada ya kutofautiana kidogo kama binadamu ndani ya nyumba.
wanakua hawana mahali pakwenda kujisitiri na kutatua tofaut zao kwasabb tayari waliisha waaminisha wanamtantandao juu ya utamu wa mapenzi yao mpaka ya ndani πŸ’

na kwahivyo sasa, kupitia mtandao wanaendelea kuchochea moto na kufunuana zaidi madhaifu na mapungufu yao ya kibinadamu πŸ’

hii kitu hunisononesha sana kwakweli nionapo jamaa wanapambana na wenzi wao mitandaoni πŸ’

ni vizuri ya ndani mkayamaliza kwa ndani chumbani ni muhimu sana..

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Kukabiliana na Fact NI kazi sana. Ndio anachofanya mtoa mada.
Nimempa challenge naona povu kama lote mbaya zaidi na hili jua hana hela ya soda. Kudadadeki! 😊
pwilo
🀣🀣🀣🀣 Ila nilichogundua mtoa mada ni mfukunyuku na anapenda kufatilia maisha ya watu..!! Anataka kupangia watu jinsi ya kuishi maisha yao ambayo yy hayamfaidishi chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…