Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
sasa hapo naona unahitaji nifundishe faida na hasara za mtandaoni, right 🐒
mkikutana mtandaoni na mkawa wachumba na hatimae ndoa, its okay and fine,
otherwise mkikutana kanisani halafu mkakaribisha mtandao kana kwamba ndio furaha yenu na mshauri wenu mkuu wa ndoa basi msijiskie vibaya kuingizwa kwenye list hapo juu, muda muafaka ukifika 🐒
R.I.P Laigwanan comrade ENL
Fact ni kuwa, ikiwa Watu wameamua kuweka mambo yao mitandaoni na hawavunji sheria yoyote sioni ubaya wowote. Kama ni furaha yao.
Ni sawa na mtu ka- post gari au nyumba yake alafu kuna mijitu inasema sio vizuri au ni ushamba.