Mwanaume usimuanike mpenzi wako mitandaoni

Sio vizuri kwasababu mapenzi yao ila wanatutukana sisi wanyonge ambao hatuna hatia maana kuna caption ukiziona unaweza sema umekosea kuoa.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu ndio maana unaambiwa uchague Mwanamke ambaye utakuwa Comfortable naye ili uweze hata kuongozana naye barabarani au hata kumtambulisha achilia mbali kumpost mitandaoni.

Sasa wewe unasema wanakuonea wewe mnyonge (πŸ˜‚πŸ˜‚ hapa umenifurahisha sana) kwani ulilazimishwa kuoa au kuwa nah huyo uliyenaye?

Kwani unashindwa kumpendezesha mwenza wako afanane na hao wa kina Manara.
Mbona hao mademu ni wakawaida sana. Ishu ni matunzo tuu
 
Kwakweli πŸ˜‚πŸ˜‚
Kazi wifi yangu, eti kaka asikupost kisa aogope watamchapia.?? Kuna wengi hawapost mademu zao na wanachapiwa vzr tena na watu wa hovyo.!!!
Mtoa mada aache watu waishi maisha yao kikubwa hawavunji sheria za nchi buana.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Hao ni wale wanaofake kwamba furaha yao ni ku-post mitandaoni kama wale ambao hawaposti lakini wanafanya hivyo kwa kufake kumbe wanapenda sema wanaogopa matokeo kama kuachwa na kuchapiwa au mambo mengine kama hayo
 
Basi kaka inatosha kakuelewa, hapo alipoanza kutia huruma nikajua maji yamefika shingoni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Basi kaka inatosha kakuelewa, hapo alipoanza kutia huruma nikajua maji yamefika shingoni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜€πŸ˜€
Ninamuelewa hoja yake tangu alipoandikisha hΓ­i mada.
Sababu alizozitoa kwenye uzi zilikuwa Geresha. Alikuwa hajasema sasa kasema ile kwΓ©li yenyewe.

Angesema wazi tuu wala tusingefika huku
 
🀣🀣🀣🀣 Ila nilichogundua mtoa mada ni mfukunyuku na anapenda kufatilia maisha ya watu..!! Anataka kupangia watu jinsi ya kuishi maisha yao ambayo yy hayamfaidishi chochote

Mtu umeshakuwa Follower WA mtu alafu unataka umpangie unayem-follow. Hiyo inakujaje.
Huyo Manara kuna Watu hawamjui hapahapa Dar es salaam achilia mbali Tanzania.
 
Ww unasononeka nini na watu wanaishi maisha yao.?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukijua hii dunia tunapita na ukiwa busy na maisha yako wala haitokusumbua..!!

Mimi nasononeka na wale wanaochukuana video wakiwa faragha kisha wanazivujisha sababu wanaharibu watu kisaikolojia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na ni aibu kwa familia zao na taifa kwa ujumla.
 
πŸ˜€πŸ˜€
Ninamuelewa hoja yake tangu alipoandikisha hΓ­i mada.
Sababu alizozitoa kwenye uzi zilikuwa Geresha. Alikuwa hajasema sasa kasema ile kwΓ©li yenyewe.

Angesema wazi tuu wala tusingefika huku
Ila mtoa mada uko aliko anatusonya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Madhara ya kushindwa kutunza faragha kila kitu unachofanya unaweka mtandaoni ni itafika siku moja utashindwa kuzungumza chochote mbele za watu maana wanajua kila kitu kukuhusu
 
Mtu umeshakuwa Follower WA mtu alafu unataka umpangie unayem-follow. Hiyo inakujaje.
Huyo Manara kuna Watu hawamjui hapahapa Dar es salaam achilia mbali Tanzania.
Kwanza mtu km Manara hana muda anaishi maisha yake hajali watu wanasema nini kumuhusu. Yy anachojali furaha yake..!!
Ifike hatua tuache kupangia watu maisha ili na sisi tuishi yetu kwa kuenjoyyyyyyyy πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwanza mtu km Manara hana muda anaishi maisha yake hajali watu wanasema nini kumuhusu. Yy anachojali furaha yake..!!
Ifike hatua tuache kupangia watu maisha ili na sisi tuishi yetu kwa kuenjoyyyyyyyy πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na dunia ili ufurahie lazima uishi maisha yako.
Wanadamu ni vigeugeu. Leo kasema hivi kesho kasema vile. Leo USI-POST kesho unamkuta yeye ndio kapost.
Watu wa hivyo ni wakuwasikiliza.

Hayo ndio yanaitwa mapokeo. Alafu mengi hayana Facts
 
Lazma ni sononeke kijana anavyofunguka jaman mambo ya ndraaani namna ile, no hapana bana πŸ’

Mwanadamu mwenyewe kujali utu wa wengine utasononeka tu na pengine kuingia kwenye maombi mazito pia...

hii ya mavideo ya masuala ya kunyanduana for sure for us young politicians ipo kanuni inatuongoza, kwasabb, you never know hiyo pisi inayokupa mbususu ni true love, business or political mission ya kukuembarass na kukupoteza mazima kwenye political scene πŸ’

Huwa tunatake charge, control and full authority of every electronic material within mnyanduano scene...

Hata ivo mnapta wap muda wa kupiga picha na video mule ndani kwenye action room? Au hamna pumzi?

wengine tunaendaga pale kwaajili ya kazi moja tu,
Ni kupeleka motroo tuπŸ”₯
Ni kupeleka motroo tu mwanzo mwanga mwenga yaani πŸ’


R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
[emoji3][emoji3]
Ninamuelewa hoja yake tangu alipoandikisha hΓ­i mada.
Sababu alizozitoa kwenye uzi zilikuwa Geresha. Alikuwa hajasema sasa kasema ile kwΓ©li yenyewe.

Angesema wazi tuu wala tusingefika huku
Usingefika huku na nani mimi sina league na mtu na nilisema tokea mwanzo sio lazima ukubali nilichoandika hata ww una mtazamo wako ila you're psychological unstable kwasababu mimi mtu akitoka nje ya mada na akajadili personal kwangu huyo hayuko sawa ila kwasababu ulikuwa na stress za kubambikiwa mtoto mpaka kufikia hatua ya kwenda mahakamani basi sawa kumbe ilikuwa unatafuta pakutolea stress.
 
Wewe mwenyewe wa kwako amekushinda anza kwanza kumtunza huyo single maza halafu ndio uje kutoa ushauri hapa ukirudi mahakamani.
 

Naona nimefanya kosa kuku- challenge.

Haya Wanaume wasi-post wenza wao mtandaoni. Ni sahihi.
Ulikuwa unahitaji hivi bila shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…