Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Sio vizuri kwasababu mapenzi yao ila wanatutukana sisi wanyonge ambao hatuna hatia maana kuna caption ukiziona unaweza sema umekosea kuoa.
๐๐๐
Mkuu ndio maana unaambiwa uchague Mwanamke ambaye utakuwa Comfortable naye ili uweze hata kuongozana naye barabarani au hata kumtambulisha achilia mbali kumpost mitandaoni.
Sasa wewe unasema wanakuonea wewe mnyonge (๐๐ hapa umenifurahisha sana) kwani ulilazimishwa kuoa au kuwa nah huyo uliyenaye?
Kwani unashindwa kumpendezesha mwenza wako afanane na hao wa kina Manara.
Mbona hao mademu ni wakawaida sana. Ishu ni matunzo tuu