Mwanaume usimuanike mpenzi wako mitandaoni

Mwanaume usimuanike mpenzi wako mitandaoni

Mkuu embu tuachane na hasira kwanza.
Turudi kwenye hoja.

Kwa uelewa wako, Kumpost mwenza mtandaoni ni chanzo cha yeye kuchapwa au kuibiwa?
Sijalizungumzia hilo mbona kwenye mada yangu wewe ndio umeanzisha mada juu ya mada ila mimi mada yangu ni tofauti na unachotaka ww kizungumzwe.
 
Sijalizungumzia hilo mbona kwenye mada yangu wewe ndio umeanzisha mada juu ya mada ila mimi mada yangu ni tofauti na unachotaka ww kizungumzwe.

Mkuu ngoja nikuache.
Mifano yote uliyotoa ili kusalitiwa kichwa cha uzi inaelezea kuwa kumpost mwenza mtandaoni ndio sababu ya mwanamke kuchapwa au kutalakiana. Mifano umeitoa hapo.

Sasa mimi nmeanzisha mada ipi tena?
 
Kukabiliana na Fact NI kazi sana. Ndio anachofanya mtoa mada.
Nimempa challenge naona povu kama lote mbaya zaidi na hili jua hana hela ya soda. Kudadadeki! [emoji4]
pwilo
Mbona hakuna facts hata moja mkuu maana hakuna data zozote ulizoleta ww inaonekana hata maana ya fact hujui sasa unakuwaje na facts bila data.
 
Lazma ni sononeke kijana anavyofunguka jaman mambo ya ndraaani namna ile, no hapana bana 🐒

Mwanadamu mwenyewe kujali utu wa wengine utasononeka tu na pengine kuingia kwenye maombi mazito pia...

hii ya mavideo ya masuala ya kunyanduana for sure for us young politicians ipo kanuni inatuongoza, kwasabb, you never know hiyo pisi inayokupa mbususu ni true love, business or political mission ya kukuembarass na kukupoteza mazima kwenye political scene 🐒

Huwa tunatake charge, control and full authority of every electronic material within mnyanduano scene...

Hata ivo mnapta wap muda wa kupiga picha na video mule ndani kwenye action room? Au hamna pumzi?

wengine tunaendaga pale kwaajili ya kazi moja tu,
Ni kupeleka motroo tu🔥
Ni kupeleka motroo tu mwanzo mwanga mwenga yaani 🐒

R.I.P Laigwanan comrade ENL
Huyo anayefunguka ni kuchapwa bakora, ila wanaopost mapicha picha ya malovee 💕💕
Hao wao waendelee kuishi maisha yao hata wakibwagana poa..!!

Weee 😜
kwahiyo baba mtumishi huko ndani kwako kunakuwa na mshike mshike ni bandika bandua..!! Mama mtumishi unamfanya anene kiebrania dadeq 🤣🤣🤣
Na nyie politician video zenu zinauzwa bei kubwa kwa dada wa taifa mjichanganye muone
 
Mkuu ngoja nikuache.
Mifano yote uliyotoa ili kusalitiwa kichwa cha uzi inaelezea kuwa kumpost mwenza mtandaoni ndio sababu ya mwanamke kuchapwa au kutalakiana. Mifano umeitoa hapo.

Sasa mimi nmeanzisha mada ipi tena?
Hapo umejitungia ww kichwa cha habari.
 
Huyo anayefunguka ni kuchapwa bakora, ila wanaopost mapicha picha ya malovee 💕💕
Hao wao waendelee kuishi maisha yao hata wakibwagana poa..!!

Weee 😜
kwahiyo baba mtumishi huko ndani kwako kunakuwa na mshike mshike ni bandika bandua..!! Mama mtumishi unamfanya anene kiebrania dadeq 🤣🤣🤣
Na nyie politician video zenu zinauzwa bei kubwa kwa dada wa taifa mjichanganye muone
dada wa taifa,
tumeshamuweka kwemya rada ya maombi na maombezi anakaribia kuokoka sasa...
ingawa kazi bado ni ngumu sana lakini tutang"ang"ana nae bila kuchoka wala kukata tamaa mpaka aokoke na awe mtumishi mwema kabisa...

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Hao ni waoga kwani waliambiwa hii dunia wanaishi malaika..?? Wao wapost wakiachana basi ni sehemu ya maisha, watafute wengine wawapost kazi iendelee..!!
Mmechafukwa kabisa aya postini tu.
 
🤣🤣🤣🤣 saa 10 naenda kwenye maungamo, na nilivyo na dhambi nyingi kitubio kitakuwa kikubwa leo
dakika 45 unaendekea kutiririka midhambi tu tena kwa kufokafoka kama hiphop hadi paroko aje akuchingulie kujua wewe ni mgalatia, muefeso au muyunani 😀

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
NB:KUPOSTIANA MITANDAONI SIO ISHARA YA UPENDO NI KUTAKA KUKOMOANA AU KUJIONYESHA TU KWA WATU ILA NI TOFAUTI NA UHALISIA.
Acha nipite hivi maana hii hainihusu Mimi na mimvi yangu hii kichwani
 
Se
Upewe listi ya ambào hawaposti na wameachana?
Kutalakiana au kuibiwa mke au mume hakuna uhusiano na ku-post au kutokumpost.

Acha Watu wafanye kinachowapa furaha. Kama wewe hiyo sio furaha yako. Au unaogopa ku-post mkeo au mumeo waache wanaoweza.
Kwa sababu wanaoachana ambao hawajawapost wapenzi au wachumba zao ni wengi kuliko waliowapost
Sema Kaka tuponeeee👌👌👌👌...
 
dakika 45 unaendekea kutiririka midhambi tu tena kwa kufokafoka kama hiphop hadi paroko aje akuchingulie kujua wewe ni mgalatia, muefeso au muyunani 😀

R.I.P Laigwanan comrade ENL
😂😂😂😂😂 hatareeee
 
Back
Top Bottom