Mwanaume usimuanike mpenzi wako mitandaoni

Mwanaume usimuanike mpenzi wako mitandaoni

dada wa taifa,
tumeshamuweka kwemya rada ya maombi na maombezi anakaribia kuokoka sasa...
ingawa kazi bado ni ngumu sana lakini tutang"ang"ana nae bila kuchoka wala kukata tamaa mpaka aokoke na awe mtumishi mwema kabisa...


R.I.P Laigwanan comrade ENL
🤣🤣🤣🤣 Hayo maombi nayakatia rufaa, sisi tunataka kuona connection watu wanavyonyumbulika 😜
 
Shida hao uliowatolea mfano ni watu maarufu kwa kiasi fulani ( i mean wanafuatiliwa kwa ukaribu na wafuasi wao) kwahiyo kwa namna moja ama nyingine kwa upande wao lazima iwaathiri tu,,,,
 
🤣🤣🤣🤣 Hayo maombi nayakatia rufaa, sisi tunataka kuona connection watu wanavyonyumbulika 😜
yaani kweli ndrugu zango manafurahia mambo mbaya mbaya tu ya mbususu na mishedede ya wengine kuwekwa hadharani, kweli ndrugo zango? hii si sawa....

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Kazi wifi yangu, eti kaka asikupost kisa aogope watamchapia.?? Kuna wengi hawapost mademu zao na wanachapiwa vzr tena na watu wa hovyo.!!!
Mtoa mada aache watu waishi maisha yao kikubwa hawavunji sheria za nchi buana.😂😂😂
Ewaaaaaaahhh
 
Sianzi na salamu kwasababu hata nikiwasalimia hamuitikii anyway let's go stright to our topic.

Unajua vijana wa siku hizi na baadhi ya watu wamekuwa wajinga sana ila wao wenyewe wanajiona wajanja na hata ukiwashauri wanakuona mshamba. Kumpenda mke wako au mpenzi wako sio lazima mpaka umpost mitandaoni kwasababu maisha ya mitandaoni na uhalisia ni tofauti watu wengi wanachokipost sicho wanachokiishi mimi leo kazi yangu kuwakumbusha tu.

Wakati tunaelekea kwenye valentine's day epuka huo mkenge mapenzi yalikuwepo kabla ya Instagram Facebook na WhatsApp jitambue epuka stress ambazo hazina msingi na zina epukika.

Sasa kabla hatujafika mbali ngoja nikupe mifano ya watu ambao mapenzi yamewatokea puani baada ya kuanikana mitandaoni na kujifanya wao kina sharkan na kajol.

NICK WA PILI NA MKE WAKE: Hawa bwana walifanya watu wengine wote waonekane wajinga kwasababu jinsi walivyokuwa wakiishi mitandaoni mpaka kufikia hatua ya mwanaume kusema hata akipewa nafasi ya kuoa tena atamuoa mke wake kwa mara ya pili ila mwisho wa siku shetani akaingia kati kilichotokea kila mtu alikiona. Watu walienda kula nyama nje ya nchi na ndio ikawa mwanzo wa matatizo yao.

DR. DR. MWAKA NA MKE WAKE: Hawa walifika mpaka hatua ya kufanya interview na kusema analala na wake zake kitanda kimoja na alikuwa mshauri mkubwa wa mahusiano kabla hayajamkuta, ila anachopitia sasa hivi ni maumivu mpaka kaamua kufunga comment section kwenye mitandao ya kijamii sasa fikiria muuza dawa za nguvu za kiume na mshauri wa ndoa anateseka demu anakula maisha na wanyamwezi wengine huko sasa mateso yote ya nini mzigo wahuni wanakula huko.

MANARA NA WAKE ZAKE WAWILI: Huyu jamaa anajifanya much know yaani yeye anajiona mjanja kuliko watu wote na kila kitu anajua yeye hata baada ya mzee Yusuph kumshauri alimjibu jeuri kama kawaida yake ila mwisho wa siku ndoa chalii licha ya kuwapeleka Dubai na Qatar lakini ngoma ilikuwa ngumu mwisho wa anayeteseka ni yeye ila anajikaza kwasababu yule jamaa hakubali kushindwa. Mizigo watu wamechukua huko safari za Dubai haziishi mapemzi haya.

MC PILIPILI NA MKEWE:Yaani katika watu waliotakiwa watulie ni hyo MC kwasababu kwa waliosoma UDOM na maisha aliyokuwa anaishi mke wake chuo alikuwa mdangaji pro max ila kwasababu MC ni mshamba akaona kapata mke akaweka ndani anayopitia sasa hivi anajua mwenyewe maumivu yake sasa kwa nini uteseke wakati mateso yana epukika. Mdangaji hawezi kusahau kazi yake angetulia kupunguza maumivu.

MADEBE NA MKEWE: Huyu jamaa alikuwa anajifanya mshauri wa masuala ya ndoa ila ni wahuni kama wahuni wengine baada ya mke wake kuelezea aliyokuwa anamfanyia wakiwa kwenye ndoa na kinachoendelea sasa hivi ni aibu kwa wote wawili kwasababu kila mmoja hakubali kushindwa. Ila kama sio mitandaoni kuanikana hzi taarifa walitakiwa wamalizane wenyewe tu ila kwasababu washazoea mitandao ilikuwa haliepukiki.

STAMINA NA MKEWE: Katika watu waliopitia kipindi kigumu kwenye ndoa na mapenzi ni huyo jamaa maana alifikia hatua mpaka ya kutaka kujiua baada ya ndoa yake kufika tamati na kupelekana mahakamani mpaka leo habari za ndoa na wanawake hataki kuzisikia na amejifunza kuto anika mademu hovyo hovyo maana ilikuwa tunamkosa kama sio watu kuingilia kati.

DULA MAKABILA NA ZAYLISA: Wasanii wetu wana heka heka nyingi sana yaani wanaishi maisha ya kuigiza mpaka kwenye ndoa mwisho wa siku wanabaki kuaibika na kudhalilika alichokuwa anakifanya makabila na mkewe ni kama vile watu wote walikosea kuoa yeye peke yake ndio ana mke mzuri na ndio wanapendana kuliko watu wote duniani. Ila amepata funzo kwasababu kilichomkuta kila mtu anakijua.

RICARDO MOMO NA MKEWE: We jamaa mshamba mshamba unapata bahati ya kuwa na pisi kali kama ile halafu una iyanika mara kwa mara unapost mitandaoni wahuni wamepita naye amebaki kulia tu demu haipiti week kaenda Dubai mateso yote ya nini fanya mambo kimya kimya kuepuka maumivu kwasababu yana epukika. Mitandao sio mizuri kwa wanandoa na wapenzi nikujitia stress tu.


NB:KUPOSTIANA MITANDAONI SIO ISHARA YA UPENDO NI KUTAKA KUKOMOANA AU KUJIONYESHA TU KWA WATU ILA NI TOFAUTI NA UHALISIA.
Oya umemsahau na Masanja mkandamizaji.

Utaratibu:
Ukijenga mazoea ya kumuweka mitandaoni mke wako na kumsifiasifia Wahuni lazima wapite nae wajue yaliyomo.
 
Sasa hata hivyo ndiyo post yako ikose nukta, na mkato?

Unaandika kama Mzaramo!
 
Yani watoto wa mama mkwe wasitupost kisa tutaachana?? Kila nyakati zina raha zake na km ilipangwa kuchapiwa, utachapiwa hata usipompost. Na km kuachana mtaachana hata usipompost..!!!
Muhimu ni kuishi wakati uliopo wa sasa, ujao wote hatuujui.!!

Nasemaje wanaume tupostini na mkiishiwa bundle semeni tuwatumie mtupost 🤸‍♀️🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
 
😂😂😂😂 Mpost shem na ww akupost kwa raha zenu..!! Kuachana ipo tu.
Aliachwa malkia Elizabeth na UK iliiendelea kusimama itakuwa sisi wamatumbi??!🤣
Tena km bundle hana muwekee akupost
Mambo ni bull bull😄😄😄tutaacha kupostiana wakifungaa social media...na tupoo ndoani mwaka wa 12 huuu👌👌
 
Aaache watuu tujipost na tuwapost tuwapendaooo😄😄😄haya maisha ukiwa serious Sana magonjwa ya moyo na kisukari nje njee😄😄
Unakuta yy mwenyewe wazazi wake wameachana na hawajawahi kupostiana kokote 😂😂😂😂
Dunia yenyewe sio yetu tunapita, kila mtu na starehe yake tusipangiane..!! Tutapostiana mpk siku ya kufa 🤣🤣🤣
 
Mambo ni bull bull😄😄😄tutaacha kupostiana wakifungaa social media...na tupoo ndoani mwaka wa 12 huuu👌👌
Nampost asubuhi, mchana, jioni had usiku, atakayeona anahumia ani un follow simple tyuu..!! Ila siachi kumpost na kesho valentine, naanza kumpost leo kuwahi foleni kwa wanao view na wanaowashwa washwa na maisha ya watu 😂😂😂😂😂
 
Unakuta yy mwenyewe wazazi wake wameachana na hawajawahi kupostiana kokote 😂😂😂😂
Dunia yenyewe sio yetu tunapita, kila mtu na starehe yake tusipangiane..!! Tutapostiana mpk siku ya kufa 🤣🤣🤣
😂😂😂😂Mpk kifo kitakapo tutenganishaaa😄😄watu waache kucomplicate Mambo...life is too short to stress yourself👌👌wazungu wanasema enjoy ze moment...😂😂
 
Nampost asubuhi, mchana, jioni had usiku, atakayeona anahumia ani un follow simple tyuu..!! Ila siachi kumpost na kesho valentine, naanza kumpost leo kuwahi foleni kwa wanao view na wanaowashwa washwa na maisha ya watu 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂Tenaaaaaa👌👌👌👌
 
Back
Top Bottom