Mwanaume usiweke moyo wako kwa mwanamke asilimia mia, siku akikumwaga utalia

Mkuu kitu kati ya vitu vinavyomuumiza sana mwanamke aliyekufanyia mabaya basi ni Wema, na kusonga mbele kimafanikio, km Elimu, Pesa, mjengo wa uhakika, Safari za nje kuliko mwanzo nk, weee! muhusika atakuwa akikaa na kuwaza mema yako akili zina hama kabisaa, na analia sana na moyo unamuuma mno. mbaya zaidi mashoga zake wakimsimulia Kick zako haa! ndo kabisaaa!

Ila fanya wema kwa tahadhari, anaweza kukusababishia matatizo kw mfano, alikufanyia mpango wa kazi mahala jua utapata misukosuko kazini, mfano kukukatia mshahra wako bila sababu, kutokupanda daraja ukiona hivi shtuka, lkn usimuonyeshe kuwa umejua tenda wema tu ummalize kisaikorojia!!
 
Umesomeka mkuu,nakazia utalia na kusaga meno na stress zitakuandama kama upepo.
Zawadi kubwa utakayojizawadia wewe muachwa, ni kusamehe na kuzidi kumpenda, hii itampunguzia show off mbele zako, so no stress, lkn akijua kuwa unaumia, umenuna kuachwa!! hee! atakukomesha. na kigari chake cha mkopo.

Wewe Piga pesa ajione kuwa alikuwa na gundu. sasa km hamuonani hawezi kujua jinsi ulivo paa kimaisha, huyu uki muua umemsaidia sana maumivu, muache aishi ili aone kicks zako. aliye yeye!!

Kma una watoto wa ziada na pesa ipo wakusanye uishi nao!! peleka shule nzuri wote wape company maradufu, zaidi kuliko mwanzo.
 
ubarikiwe mkuu
 
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…