Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 589
- 1,897
Kuna Jambo nimejifunza ktk Maisha, Wazee Wengi wazamani walikua na Hakiba ya Siri.
Pia walikua awafanyi maamuzi kwa Mihemko, Na walikua na Busara, Fulani ambayo Mimi naweza sana, Mzee anaweza Jua Jambo na akakuvungia kama hajui.
Na linapokuja swala la akiba ya Siri, hii ni akiba ambayo atakua anaijua yeye tu.
Na inapotokea Kuna umuhimu wa kumueleza mtu Basi ataelezwa hiyo Siri ktk Familia Jua ameshamfanyia uchunguzi yakinifu Kujua kua anastahili kuambiwa hiyo Siri.
Kwa Vijana wa Sasa hivi Hawana akiba ambayo ipo kwa ulinzi wake binafsi maana bila hiyo akiba chochote kikitokea mke au Familia wanakujua In and Out.
Hii ndo tofauti iliopo baina ya wazee wa zamani na Vijana wa Sasa wa kiume.
Mzee anaweza washangaza kwa kufanya Jambo ambalo hamkuyarajia kupitia Hakiba yake ya Siri.
NOTE: Mke au Familia lazima wawe na mipaka ya kukuelewa, wasikuelewe sana, wakuelewe kiasi kwenye Kila Kitu.