Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
GB ya mwanaume ni kubwa kuliko GB ya mwanamke. Sasa basi katika mahusiano, mwanaume hutafuta kitu kimoja tu kutoka kwa wanawake wooooote wakati mwanamke hutafuta vitu viiiiingiii toka kwa mwanaume mmoja tu. Kazi kwenu: Mnakubaliana na huu usemi?
kabla sijachangia GB ndo nini?
funguka tukuelewe wengine shule zilitushinda 4m twoGB ya mwanaume ni kubwa kuliko GB ya mwanamke. Sasa basi katika mahusiano, mwanaume hutafuta kitu kimoja tu kutoka kwa wanawake wooooote wakati mwanamke hutafuta vitu viiiiingiii toka kwa mwanaume mmoja tu. Kazi kwenu: Mnakubaliana na huu usemi?
GB ndo nini/nani???Nilifeli darasa la kwanza!
GB ya mwanaume ni kubwa kuliko GB ya mwanamke. Sasa basi katika mahusiano, mwanaume hutafuta kitu kimoja tu kutoka kwa wanawake wooooote wakati mwanamke hutafuta vitu viiiiingiii toka kwa mwanaume mmoja tu. Kazi kwenu: Mnakubaliana na huu usemi?
makolokocho
IN what sense?
Unauhakika mwanaume anataka
kitu kimoja tu??????mmmmmhhh
Mwanaume anatafuta nini kutoka kwa mwanamke?
Mwanaume anatafuta nini kutoka kwa mwanamke?
Kama wewe ni mwansume
mature na hivyo ndivyo unavyo
fikiria basi una matatizo ya akili...
GB ndo nini/nani???Nilifeli darasa la kwanza!
makolokocho
Hahahaha! Hujanipata fresh afro, twende taratibu, tayari kuna mchangiaji mmoja kasema watoto kwa mawazo yake, sasa basi mwanaume akikosa kitu anachokitaka kutoka kwa mwanamke mmoja atafikiria kwenda wapi?
flash yako ina gb ngapi?