Mwanaume vs Mwanamke

Mwanaume vs Mwanamke

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,153
Reaction score
2,647
GB ya mwanaume ni kubwa kuliko GB ya mwanamke. Sasa basi katika mahusiano, mwanaume hutafuta kitu kimoja tu kutoka kwa wanawake wooooote wakati mwanamke hutafuta vitu viiiiingiii toka kwa mwanaume mmoja tu. Kazi kwenu: Mnakubaliana na huu usemi?
 
GB ndo nini/nani???Nilifeli darasa la kwanza!
 
funguka tukuelewe wengine shule zilitushinda 4m two
 
GB ya mwanaume ni kubwa kuliko GB ya mwanamke. Sasa basi katika mahusiano, mwanaume hutafuta kitu kimoja tu kutoka kwa wanawake wooooote wakati mwanamke hutafuta vitu viiiiingiii toka kwa mwanaume mmoja tu. Kazi kwenu: Mnakubaliana na huu usemi?

IN what sense?
 
Unauhakika mwanaume anataka
kitu kimoja tu??????mmmmmhhh
 
Kama wewe ni mwansume
mature na hivyo ndivyo unavyo
fikiria basi una matatizo ya akili...

Hahahaha! Hujanipata fresh afro, twende taratibu, tayari kuna mchangiaji mmoja kasema watoto kwa mawazo yake, sasa basi mwanaume akikosa kitu anachokitaka kutoka kwa mwanamke mmoja atafikiria kwenda wapi?
 
GB ndo nini/nani???Nilifeli darasa la kwanza!

Hahahahhahahhahaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Asante kwa kuifanya siku yangu ianze kwa kicheko leo. Ubarikiwe sana
 
Hahahaha! Hujanipata fresh afro, twende taratibu, tayari kuna mchangiaji mmoja kasema watoto kwa mawazo yake, sasa basi mwanaume akikosa kitu anachokitaka kutoka kwa mwanamke mmoja atafikiria kwenda wapi?

Kwa hiyo unamaanisha akili za
wanaume ziko kwenye suruali tu au???
 
Kuna masharobaro siku hizi na wao wanatafuta vitu viiiingi kwa mwanamke
 
Back
Top Bottom