Mwanaume wa Dar akisherehekea birthday katika vazi la ufukweni.

Mwanaume wa Dar akisherehekea birthday katika vazi la ufukweni.

chotera

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
6,560
Reaction score
15,864
Wakuu.
mwanaume wa mjini , akiwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa ndani ya vazi matata la ufukweni.
6b85819642ebbaa298b3d01de5c0aa26.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bad and buji
 
Wanaume wa mikoani hawana kazi zakufanya kazi kuwasakama Wanaume wa Dar es salaam. Wanaume wa Dar wapo bizz nakusaka Amahela
 
Duuuh mbona kama ni mwanachama mtiifu wa chadema?
 
Back
Top Bottom