Mwanaume wa Dar awachana maex zake bila kificho Instagram

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
official_pck
Leo nimeona niongee tatizo linalo usumbuwaga moyo wangu siku zoote

Mimi kwenye maisha yangu siJawai kubahatika kumpata Mwanamke mwenye upendo wa dhati na mwenye kukubali kuolewa na mimi

@sanchiworld wewe ni Mwanamke pekee niliyekupenda kwa dhati kabisa na mpaka leo unalijuwa ila nilipopata matatizo wewe hukujali ukaona pesa kwako ndo kila kitu tukaachana

@new_kelvina wewe ni mwanamke pekee niliye kupaga kila kitu pamoja na umaskini wangu ila nilikujali wewe na watoto wako woote mpaka na posa nikatowa ila nikaanzaga kushtula pale ulipo kulaga pesa ambazo ilikuwa ni mahari yako ukazila bila hata kufika kwa wazazi wako ila yoote nikazidi kuvilia nikizani utabadilika ila mwisho wasiku haukutaka kuacha tabiya yako ya kudanga na kusagana na wanawake wenziyo hilo nikashindwa nikaamuwa kujiondowa

@charityfragrance38 wewe ni mwanamke pekee uliye kuwa umejitaidi kunipenda na kunijali ila kwa bahati mbaya ibilisi kelvina akawa ameingilia kati na nikajikuta nimekupoteza ila mpaka leo najutiyaga kukupoteza

@kibongesex na wewe nilikupenda zaidi ya ujuwavyo tena upendo wa dhat na kukuonyesha kuwa nilikuwa serious kwako nikakutolea mpaka posa ili nijiandae kutowa mahari ila baadae ukaja kuona bado unataka kula ujana na kuniacha kiasi kwamba nikajikuta naenda kudondoka kwenye mikono ya mdangaji kelvina na kunitesa zaidi

@v.i.e.n_ nimekubembelezaga sana nikuoe ila bado ukazidi kunigomea kwa kunidharau na kuhisi kuwa sina uwezo wa kukuhudumia kwakuwa unapenda mitoko ya kila siku

Hao ndiyo wanawake waliyo nitenda na kuutesa moyo wangu mpaka nikaamuwa kuishi bila Mwanamke na kuwachukia Wanawake ila kwa sasa nina hitaji saaana kuowa tena ndoa kabisa ila sijabahatika kupata mwenye upendo wa dhati na mwenye malengo
 
Mbona hao alowataja wote ni wakaa uchi tu
 
Huyu atakuwa ni brother yake Deo Kisandu

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Hakuna watu wajinga hapa Nchini kama watumiaji wa Instagram..... Bora hata atumiae Facebook ila Instagram ni ujinga mtupu.
 
sio bure huenda kuna kitu kila mwanamke aligundua kwako akaamua kusepa hizo sababu ni zakwako chukua sababu zao pia ili uzijue ujiridhishe kama zitakuwaje ujirekebishe
 
unamuonaaa kiduuuuume,akija panya road anakimbia,lools
 
sio bure huenda kuna kitu kila mwanamke aligundua kwako akaamua kusepa hizo sababu ni zakwako chukua sababu zao pia ili uzijue ujiridhishe kama zitakuwaje ujirekebishe
halafu wewe nataka nikuchane basi tu nimekuhifadhi.unajifanya upo very innocent hapa.lini nilikuomba hela?
 
Unatongoza changudoa
Una expect nn akupende
 
halafu wewe nataka nikuchane basi tu nimekuhifadhi.unajifanya upo very innocent hapa.lini nilikuomba hela?
Hii post ni ya official_pck akilalamika kuhusu wasichana, nimemjibu yeye maana uliweka post yake hapa sasa mimi nakujaje hapa, sijakuzungumzia ww hapa na sijawahi sema umeniomba hela. sawa mkuu labda ulikuwa hujanielewa kuwa namjibu official_pck
 
hujaweka thread flani hivi jf hapa? unajua wewe mkuu nishakusoma kitambo ni kama kuna maisha unayaotaga hv .sasa unataka kuyaishi na haiwezekaniki.wewe unapenda kuponda wanawake wakati mwenyewe ndo mwenye shida.
 
Mkuu hapana sijamzungumzia mtu yeyote, post niliweka kivyangu na haimhusu mtu yeyote ni mawazo binafsi na maoni tu kama mawazo ya wengine, nawaheshimu sana wanawake na nitaendelea kuwaheshimu sana siwezi kumponda yeyote yule ni kosa sana kwangu sitojaribu hata siku moja, kama kuna yeyote aliyeguswa na post hiyo naomba anisamehe ila sijazungumzia yeyote yule.
hujaweka thread flani hivi jf hapa? unajua wewe mkuu nishakusoma kitambo ni kama kuna maisha unayaotaga hv .sasa unataka kuyaishi na haiwezekaniki.wewe unapenda kuponda wanawake wakati mwenyewe ndo mwenye shida.
 
hujaweka thread flani hivi jf hapa? unajua wewe mkuu nishakusoma kitambo ni kama kuna maisha unayaotaga hv .sasa unataka kuyaishi na haiwezekaniki.wewe unapenda kuponda wanawake wakati mwenyewe ndo mwenye shida.
MWAAAAAAAGA UBUYU MKUU...MANAKE MBOYOYO KAMA HIZI ADIMU SANA
 
Kaka jipige kifuani sema “mimi ni kiwembe”@Miss Natafuta,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…