Mwanaume wa Dar bila kuwa na sifa hizi hunipati ng`oo

Mwanaume wa Dar bila kuwa na sifa hizi hunipati ng`oo

Nichukulie tu kuwa hayo ndio maisha aliyoishi mama yako kwa baba yako.
Kukuza mtoto mpaka kufikia umri wako, tuseme una miaka 25.
Kila siku mama yako alipokea 20,000.
Kwa mwezi, 20000×30=600,000
Kwa mwaka, 600000×12=7,200,000
Kwa miaka 25, 7200000×25=180,000,000

Hizo ni millioni 180.
Ongea na mama yako akumegee kiinua mgongo hicho uache kuombaomba.
 
Dada ako ana bwawa la mtera unamtafutia pesa ya matibabu akabane papuchi [emoji23]


[emoji23]
 
1.uwe na gari kali
2.Uwe mtanashati
3.Ukoo wenu mzima muwe matajiri
4.Uwe mtundu kitandani
5.Uwe na nyumba kali si kijumba au nyumba ya kupanga
6.Unipe hela ya matumizi sio chini ya 20,000 kwa siku
Bila shaka utakuwa na mimiView attachment 415242
Uwe na huruma wewe mdada umetoka kwenu huko bush country sigimbi, unataka utajirikie kwa mtoto wa dar mwanamke mwenzio!!!!!?
 
Mmh!?,sku hz hata sie wanaume tunataka mwanamke mwenye maisha yake(gari,pesa,nyumba) na wenye matako makubwa tunawataman kwa macho tu lakini huwa hatuna hamu ya kugongana nao au kuoa,mtoto namba moko bhana kama v money
 
Back
Top Bottom