Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,022
ngoja wamfuate wanaume wa daslaamNadhani kailenga picha... Japo kafelisha kidogo
Mshamba ww huna lolote viazi[emoji12] [emoji12] [emoji12] unipati1.uwe na gari kali
2.Uwe mtanashati
3.Ukoo wenu mzima muwe matajiri
4.Uwe mtundu kitandani
5.Uwe na nyumba kali si kijumba au nyumba ya kupanga
6.Unipe hela ya matumizi sio chini ya 20,000 kwa siku
Bila shaka utakuwa na mimiView attachment 415242
bomba imeingia kabatiniEndelea kuegemea bomba bi shost
JF imevamiwa na mapepo..1.uwe na gari kali
2.Uwe mtanashati
3.Ukoo wenu mzima muwe matajiri
4.Uwe mtundu kitandani
5.Uwe na nyumba kali si kijumba au nyumba ya kupanga
6.Unipe hela ya matumizi sio chini ya 20,000 kwa siku
Bila shaka utakuwa na mimiView attachment 415242
churaMh kwa kipi ulonacho kikubwa wengine hawana
Uwe na huruma wewe mdada umetoka kwenu huko bush country sigimbi, unataka utajirikie kwa mtoto wa dar mwanamke mwenzio!!!!!?1.uwe na gari kali
2.Uwe mtanashati
3.Ukoo wenu mzima muwe matajiri
4.Uwe mtundu kitandani
5.Uwe na nyumba kali si kijumba au nyumba ya kupanga
6.Unipe hela ya matumizi sio chini ya 20,000 kwa siku
Bila shaka utakuwa na mimiView attachment 415242
chura
bora umenisaidia mama kumwambia tena nahisi hizi ni ndoto za mchana kweupe.Dream on and keep dreaming.
Huyu atakuwa kaoge mbn wakiume1.uwe na gari kali
2.Uwe mtanashati
3.Ukoo wenu mzima muwe matajiri
4.Uwe mtundu kitandani
5.Uwe na nyumba kali si kijumba au nyumba ya kupanga
6.Unipe hela ya matumizi sio chini ya 20,000 kwa siku
Bila shaka utakuwa na mimiView attachment 415242
pesa ndogo aiseeShe is too cheap! Yaani $10 tu kwa siku?