MWANAUME WA DAR NGOJA NIKUSAIDIE KAZI HII NDO WEEK YA MWISHO

MWANAUME WA DAR NGOJA NIKUSAIDIE KAZI HII NDO WEEK YA MWISHO

Maji Baridi

Senior Member
Joined
Dec 17, 2017
Posts
120
Reaction score
134
Iko hivi, kuna dem kaja hapa mkoani kutoka huko wanapopaita Dar msimu huu wa sikukuu. Sasa akaleta mazoea ya hapa na pale nikajua tu huyu ana njaa na dushe tena ndo hivyo ametoka Dar[emoji23][emoji23][emoji23]

Basi mwanaume wa mkoani sina makuu nikaona nikimuacha aondoke hivi hivi ataniona ni wale wale. Nikamuingiza kwenye 18 zangu nikampa kile alichokuwa anahitaji sasa imekuwa kama dozi... dem kanogewa hataki tena kurudi.

Juzi mwanaume wake wa Dar anampigia simu akimtaka arudi cha kushangaza dem kaanza kumgomea anamjibu "oooh naumwa" ntarudi week ijayo kumbe wala amenogewa tu dushe...

Kwahiyo wewe mwanaume wa Dar ngoja nikusaidie mashambulizi ya mwisho mwisho hii week iliyobaki then uendelee kusukuma gurudumu lako kivivu panapo week ijayo.....

SINA MAKOSA KATIKA HILI
 
Wenye wapenzi Waliosafiri roho juu[emoji16][emoji16] ila mkuu umeshagombanisha ujue.
 
Wenye wapenzi Waliosafiri roho juu[emoji16][emoji16] ila mkuu umeshagombanisha ujue.
Mkuu ningemuacha eti kuhofia kumgombamisha angeniona sina tofauti na mvulana wake
Imenibidi nivae miwani ya mbao katika hili
 
Back
Top Bottom