Hawezi kupata ujauzito mkuu...
Mkewe itabidi atueleze...I wonder if ana watoto.
Najua utafurahi sana...ni ngumu kumeza lakini ningekubali tu matokeo!!!
ukisema wachina inatosha
Hahahah...maybe ni downtown Shamshuipo au East Kowloon
hivi mtu anaitwa mwanaume au mwanamke kwa kutegemea nini hasa? je kuna jambo jengine zaidi ya kitobo na mkia?
anacheza karate mkuu.....nataka nijandae kwa mbio si unajua tena wale watu kininja warriors wako vizuri nisije kuacha taya zangu china.
Hahahah...
mwanamke na mwanaume utofauti wao upo kwenye jinsia zao na maungo ya uzazi.
Zaidi huwa wanaangalia vinasaba, XX ni mwanamke na XY ni mwanaume.
Hahahah...sina uhakika mkuu hiyo ni habari nimeikuta tu mtandaoni nikaona si vibaya kama tukishirikiana kushangaa wote...
sasa kama huyu tayari ana mkia ataitwaje mwanamke? huyu ni mwanaume
sasa kama huyu tayari ana mkia ataitwaje mwanamke? huyu ni mwanaume
nilitamani nimuone akiwa amebeba ujauzito wake ili nijue angeonekanaje.
Najua utafurahi sana...
Ili uwashuhulikie wadada...lolkwa nini wasema hivyo?