Mwanaume wa Kichina agundulika kuwa ni Mwanamke...

Mwanaume wa Kichina agundulika kuwa ni Mwanamke...

Jamaa alipewa hela za urithi
milion4 akaamua kwenda porini kuzifukia chini ya mti afu akapiga picha mti kama alama ,huyoo akaenda zake home
baada ya mda kidogo akachukua camera ili kuangalia ile picha ,alishangaa kuona kumbe juu ya mti kulikuwa na mtu anachekelea
UNGEKUWA WEWE INGEKUAJE?????!!
 
ngoja nimtumie madera kama zawadi,naomba location plz
 
watu8 haya mambo nimeyasikia mara nyingi kiasi, ingawa ni kwa namna ya tofauti kidogo. Niliwahi kusikia ya mwanamke ambaye alikuwa na mwonekano wote wa kiume mpaka ndevu, lakini kwenye maeneo ya uzazi ni mwanamke! Niliwahi kusikia habari za kweli za wale waliokutwa na jinsia mbili, mojawapo ikiwa na nguvu zaidi kuliko ingine. Niliwahi kusikia habari za kweli za dada mmoja aliyekuwa anasoma Msalato Girls (some yrs back) alikuwa na jinsia mbili na zote zilikuwa zinafanya kazi na aliwahi kukamatwa akitoa dozi kwa mwanafunzi mwenzake, nk nk

Kwa upande wangu, haya mambo yapo, ni kuomba Mungu tu yasitukute na pia kuwa makini na lifestyle ambayo inaweza kutuingiza kwenye kupata watoto wa namna hii au wenye hitilafu fulani ikiwemo utumiaji wa madawa ambayo hayajathibitishwa, madawa ya kichina, vyakula visivyofaa nk nk.
 
Hahahah...maybe ni downtown Shamshuipo au East Kowloon

anacheza karate mkuu.....nataka nijandae kwa mbio si unajua tena wale watu kininja warriors wako vizuri nisije kuacha taya zangu china.
 
hivi mtu anaitwa mwanaume au mwanamke kwa kutegemea nini hasa? je kuna jambo jengine zaidi ya kitobo na mkia?

Hahahah...
mwanamke na mwanaume utofauti wao upo kwenye jinsia zao na maungo ya uzazi.
Zaidi huwa wanaangalia vinasaba, XX ni mwanamke na XY ni mwanaume.
 
Hahahah...sina uhakika mkuu hiyo ni habari nimeikuta tu mtandaoni nikaona si vibaya kama tukishirikiana kushangaa wote...

anacheza karate mkuu.....nataka nijandae kwa mbio si unajua tena wale watu kininja warriors wako vizuri nisije kuacha taya zangu china.
 
Hahahah...
mwanamke na mwanaume utofauti wao upo kwenye jinsia zao na maungo ya uzazi.
Zaidi huwa wanaangalia vinasaba, XX ni mwanamke na XY ni mwanaume.

sasa kama huyu tayari ana mkia ataitwaje mwanamke? huyu ni mwanaume
 
sasa kama huyu tayari ana mkia ataitwaje mwanamke? huyu ni mwanaume

Mkuu kisayansi vinasaba vyake vinaonesha ana XX...
Labda nikudokeze tu kidogo kwa kuwa tupo jukwaa la utabibu...
Baada ya mimba kutungwa na mtoto kuwa katika hatua za awali za ukuaji, kichanga huwa hakina jinsia.
Baadaye jinsia ya kike ndio huanza kujitokeza hata kama mtoto atakayezaliwa atakuwa mwanaume...
Sasa ili mtoto atokee kuwa mwanaume, sehemu ya clitoris hu-develop na kuwa penis...sehemu ya vulva nayo hu-develop na kutengeneza ngozi ya korodani...vivyo hivyo kwa sehemu nyinginezo.
Yote hayo hutegemeana na information ambayo vinasaba vinakuwa vimebeba ili kuelekeza uumbaji wa maungo na mifumo...

Kuna wakati hutokea kasoro kadha wa kadha katika hiyo process, ndio maana huwa kuna watu huzaliwa jike dume, wengine unakuta wana maumbile ya kike wakati wao ni wanaume n.k
 
Si sawa!!!

Upo sahihi kabisa mkuu...

"The condition was caused by a very rare combination of two genetic disorders and the Turner's syndrome, which causes women to lack some female features, including the ability to get pregnant."
 
sasa kama huyu tayari ana mkia ataitwaje mwanamke? huyu ni mwanaume

Kama unajua Kimombo mkuu, soma hapa chini kwa maelezo zaidi...

"The condition was caused by a very rare combination of two genetic disorders and the Turner's syndrome, which causes women to lack some female features, including the ability to get pregnant.
Sufferers usually look like women, but in this case the patient also had CAH, which boosted the male hormones and made the patient look like a man."
 
Back
Top Bottom