Mwanaume wa kileo ni kichwa cha mke wake au ni miguu?

Mwanaume wa kileo ni kichwa cha mke wake au ni miguu?

Nimekuwa nikiangalia jinsi wnaume wa sasa hivi wanavyowaachia wake zao majukumu yote nauliza nyie wanaume mnaopenda kulelewa na wake na wapenzi wenu nyie ni vichwa au miguu?

bora wangekua hata miguu, bali ni manyama uzembe.....
Loh mkaka anajitongozesha ili alelewe....
Cha kwanza anakuuliza una kazi gani...
Loh....
 
Sasa mbona mnatukana badala ya kujadili?Halafu, nani aliwambia kuwa kila mwenye viungo vya kiume ni mwanamume?Next nitahidi kutafuta maoni ya wadau kwa staha!
 
umenichekesha, mke akiachiwa mujukumu yote ataweza? Kwa jinsi ninavyowafahamu wanawake, ikifikia hatua ya mke kuachiwa majukumu ya nyumbani kwa 100%, hapo piga ua lazima adai kuachika. Pia inaonekana umo kwenye mahusiano ya namna hii, umeleta uzi huu kupunguza stress au kujifariji, kama koti linakubana dada yangu, livue, litakuua.

Mmmm una uhakika au una hisia?
 
bora wangekua hata miguu, bali ni manyama uzembe.....
Loh mkaka anajitongozesha ili alelewe....
Cha kwanza anakuuliza una kazi gani...
Loh....

Umeona mumy?basi jioni nimeingia bank nikakuta mdada nafikiri na mpenzi wake yani yule kaka alivyokuwa busy anafanya shoulder surfing huku anamsemesha mdada maneno ya kumdanganya yani nimetoka pale nacheka sana
 
umenichekesha, mke
akiachiwa mujukumu yote ataweza? Kwa jinsi ninavyowafahamu wanawake,
ikifikia hatua ya mke kuachiwa majukumu ya nyumbani kwa 100%, hapo piga
ua lazima adai kuachika. Pia inaonekana umo kwenye mahusiano ya namna
hii, umeleta uzi huu kupunguza stress au kujifariji, kama koti
linakubana dada yangu, livue, litakuua.

kwani we hujawah kuona mifano dhahiri ya wanawake walioachiwa majukumu yote ya familia mijanaume kazi umalaya tu na kulewa,tena hata akikuta pesa ya mkewe anaiba?
 
kwani we hujawah kuona mifano dhahiri ya wanawake walioachiwa majukumu yote ya familia mijanaume kazi umalaya tu na kulewa,tena hata akikuta pesa ya mkewe anaiba?

mwanamke mwenye uwezo kifedha akifanyiwa mambo hayo uliyotaja hapo juu kamwe hawezi kuendelea na hiyo ndoa, ukiona bado yumo ndani ya ndoa ya aina hiyo ujue mwanaume pamoja na ushenzi wote huo bado anabeba jukumu la kulea familia yake, japokuwa kwa manyanyaso.
 
jeneneke na nyinyi wanawake mnaowageuza waume zenu kuwa ni parents wenu, ni wake au vichuguu?
 
Last edited by a moderator:
jeneneke na nyinyi wanawake mnaowageuza waume zenu kuwa ni parents wenu, ni wake au vichuguu?
Japo sipata bado bahati hiyo ;lakini hiyo ni sawa mwanaume si kichwa Mathematics?au?Sisi wakirstu kuna kipengele cha Biblia kinachosema ni aibu mwanaume kulishwa na mwanamke which means?kwanza mwanaume kamili hata kama humtaki anafurahia ukimchuna?unabisha?labda kama na wewe ni Baloteri
 
kuzaa kwa operation ni kutunza mwili???? how??
he sasa kuzaa kwa operation we unakereka nini badala ya kufurahi mkeo antunza mwili wake?Nikaa nyumbani upo tayari kunipa kila ninalohijati na kusidia wanaohitaji msaada wangu?
 
Nimekuwa nikiangalia jinsi wnaume wa sasa hivi wanavyowaachia wake zao majukumu yote nauliza nyie wanaume mnaopenda kulelewa na wake na wapenzi wenu nyie ni vichwa au miguu?

Huyo mwanaume wa kuniachia majukumu yote cha kwake ni cha dhahabu au amenipa limbwata?
 
he sasa kuzaa kwa operation we unakereka nini badala ya kufurahi mkeo antunza mwili wake?Nikaa nyumbani upo tayari kunipa kila ninalohijati na kusidia wanaohitaji msaada wangu?

Kuzaa kwa operesheni ni matatizo sasa huko kutunza mwili cjui unamaanisha nini kuzaa kwa njia yakawaida ukishatoa tu kichanga unasahau maumivu yote lakini operesheni ganzi ikiisha lazima uimbe haleluyah
 
kama anafanya kazi ni lazima kuchangia gharama za matumizi nyumbani, kwa mawazo yako unataka fedha ya mshahara wake isitumike nyumbani kwake? chunguza hapo kazini kwako ni wanaume wangapi wanalelewa na wake zao na wangapi wanalea wake zao. Mwanaume humtegemea mwanamke pale tu anapokuwa hana kipato, lkn akiwa na kipato kamwe hawezi kumtegemea mwanamke. Kiasili mwanaume akimtegemea mwanamke hupungukiwa ujasiri kiasi fulani kitu ambacho wanaume wote hatupendi.
sio wanaume wa siku izi tena unakuta kabisa ana kazi na mshahara mzuri tu lakini hela yake haijulikani inaenda wapi ana kazi tu ya kutoa maagizo kwa mke tu.
 
sio wanaume wa siku izi tena unakuta kabisa ana kazi na mshahara mzuri tu lakini hela yake haijulikani inaenda wapi ana kazi tu ya kutoa maagizo kwa mke tu.

sikubaliani na wewe, mwanaume mwenye kazi na mshahara mzuri kamwe hawezi kumtegemea mwanamke, kamwee! Na kama yupo wa hivyo atakuwa anamatatizo fulani kichwani. Kama wako yupo hivyo, fanya mpango umpeleke kwa wataalamu.
 
Trust me wangu hawezi kuwa hivyo hata siku mmoja kwanza sjui ataanzia wapi!!!eti husbby wil u do that???
 
Back
Top Bottom