Umenena vema mkuu,
Nimekuwa nikiangalia jinsi wnaume wa sasa hivi wanavyowaachia wake zao majukumu yote nauliza nyie wanaume mnaopenda kulelewa na wake na wapenzi wenu nyie ni vichwa au miguu?
umenichekesha, mke akiachiwa mujukumu yote ataweza? Kwa jinsi ninavyowafahamu wanawake, ikifikia hatua ya mke kuachiwa majukumu ya nyumbani kwa 100%, hapo piga ua lazima adai kuachika. Pia inaonekana umo kwenye mahusiano ya namna hii, umeleta uzi huu kupunguza stress au kujifariji, kama koti linakubana dada yangu, livue, litakuua.
Kumbe na wewe uko bias..........................
bora wangekua hata miguu, bali ni manyama uzembe.....
Loh mkaka anajitongozesha ili alelewe....
Cha kwanza anakuuliza una kazi gani...
Loh....
umenichekesha, mke
akiachiwa mujukumu yote ataweza? Kwa jinsi ninavyowafahamu wanawake,
ikifikia hatua ya mke kuachiwa majukumu ya nyumbani kwa 100%, hapo piga
ua lazima adai kuachika. Pia inaonekana umo kwenye mahusiano ya namna
hii, umeleta uzi huu kupunguza stress au kujifariji, kama koti
linakubana dada yangu, livue, litakuua.
Mmmm una uhakika au una hisia?
kwani we hujawah kuona mifano dhahiri ya wanawake walioachiwa majukumu yote ya familia mijanaume kazi umalaya tu na kulewa,tena hata akikuta pesa ya mkewe anaiba?
Japo sipata bado bahati hiyo ;lakini hiyo ni sawa mwanaume si kichwa Mathematics?au?Sisi wakirstu kuna kipengele cha Biblia kinachosema ni aibu mwanaume kulishwa na mwanamke which means?kwanza mwanaume kamili hata kama humtaki anafurahia ukimchuna?unabisha?labda kama na wewe ni Baloterijeneneke na nyinyi wanawake mnaowageuza waume zenu kuwa ni parents wenu, ni wake au vichuguu?
he sasa kuzaa kwa operation we unakereka nini badala ya kufurahi mkeo antunza mwili wake?Nikaa nyumbani upo tayari kunipa kila ninalohijati na kusidia wanaohitaji msaada wangu?
Nimekuwa nikiangalia jinsi wnaume wa sasa hivi wanavyowaachia wake zao majukumu yote nauliza nyie wanaume mnaopenda kulelewa na wake na wapenzi wenu nyie ni vichwa au miguu?
Huyo mwanaume wa kuniachia majukumu yote cha kwake ni cha dhahabu au amenipa limbwata?
Sio unahisi bali ni miguu ambayo hao wanawake watafutaji wanaitumia kukanyagia uchafu wote
he sasa kuzaa kwa operation we unakereka nini badala ya kufurahi mkeo antunza mwili wake?Nikaa nyumbani upo tayari kunipa kila ninalohijati na kusidia wanaohitaji msaada wangu?
kinatoa asali badala ya shahawa. Loh!! Huyo lazima umpokee majukumu
sio wanaume wa siku izi tena unakuta kabisa ana kazi na mshahara mzuri tu lakini hela yake haijulikani inaenda wapi ana kazi tu ya kutoa maagizo kwa mke tu.kama anafanya kazi ni lazima kuchangia gharama za matumizi nyumbani, kwa mawazo yako unataka fedha ya mshahara wake isitumike nyumbani kwake? chunguza hapo kazini kwako ni wanaume wangapi wanalelewa na wake zao na wangapi wanalea wake zao. Mwanaume humtegemea mwanamke pale tu anapokuwa hana kipato, lkn akiwa na kipato kamwe hawezi kumtegemea mwanamke. Kiasili mwanaume akimtegemea mwanamke hupungukiwa ujasiri kiasi fulani kitu ambacho wanaume wote hatupendi.
sio wanaume wa siku izi tena unakuta kabisa ana kazi na mshahara mzuri tu lakini hela yake haijulikani inaenda wapi ana kazi tu ya kutoa maagizo kwa mke tu.
Trust me wangu hawezi kuwa hivyo hata siku mmoja kwanza sjui ataanzia wapi!!!eti husbby wil u do that???sikubaliani na wewe, mwanaume mwenye kazi na mshahara mzuri kamwe hawezi kumtegemea mwanamke, kamwee! Na kama yupo wa hivyo atakuwa anamatatizo fulani kichwani. Kama wako yupo hivyo, fanya mpango umpeleke kwa wataalamu.