Mwanaume wa kuchat nae

Mwanaume wa kuchat nae

Kulikuwa na uzi uliletwa humu jamaa akisema eti 2016 hatahangaika kumridhisha mwanamke, kama mwanamke anataka kuridhishwa alipie.

Siyo hela atoe mwanaume halafu mwanamke ndo atafute kuridhishwa, na kwa huyo dada kwa sababu yeye ndo anataka kuflirtishwa inabidi alipie, maana yeye ndo mhanga.
Na mimi nataka kugegedwa na wew. Vipi nilipie wapi au utanifanyia bure?
 
Na mimi nataka kugegedwa na wew. Vipi nilipie wapi au utanifanyia bure?

Ha ha ha!

Hizi kazi wape vijana, sisi wengine nguvu zimebaki ni za mama yoyoo tu.

Nimemwona sumbai mahali, hii kazi anaweza kuifanya.
 
Habari zenu?

Natafuta mwanaume wa kuflirt nae, yaani chart za hapa na pale awe tayari kuwa rafiki yangu pia.

Umri kuanzia miaka 30 kwenda mbele, mimi nina miaka 30 pia.

Ambaye yupo huru na anajiamini ani PM.

Mh, hebu ngoja niku-pm bhana, lakini nina wasiwasi kweli na uandishi wako, au labda ni mtelezo tu.
 
Habari zenu?

Natafuta mwanaume wa kuflirt nae, yaani chart za hapa na pale awe tayari kuwa rafiki yangu pia.

Umri kuanzia miaka 30 kwenda mbele, mimi nina miaka 30 pia.

Ambaye yupo huru na anajiamini ani PM.
Njoo PM
 
Niko tayari kuwa rafiki yako ila nina miaka 29 .
 
Niko tayari ni pm nikutumie email yangu tuwasiliane zaidi.
 
Bio inaonesha miaka 46 hapa umesema 30 JF raha sana
 
Habari zenu?

Natafuta mwanaume wa kuflirt nae, yaani chart za hapa na pale awe tayari kuwa rafiki yangu pia.

Umri kuanzia miaka 30 kwenda mbele, mimi nina miaka 30 pia.

Ambaye yupo huru na anajiamini ani PM.
 
Jameni mnisaidie, kiswahili hichi kigumu; Kuflirt ndiyo nini? Isijekuwa kuamshana nyege tu nasikia siku hizi ati kuna mapenzi ya simu isijekuwa ndo hayo maflirt.
Ka ni hayo, monica sikupendi, utaniletea balaa na mume wako wa juzi tu hata miezi miwili bado na ulisemaga atii akutosheleza
 
Back
Top Bottom