Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,984
Goodmorning mimi ni mwanamke umri 28.ni mama wa mtoto moja ninatafuta mwanaume wa kunifuta mchoz baadae awe mume wangu.umri wake uwe kuanzia miaka 35 mpaka 50.
asanten na sku njema
Kama kweli uko serious hii tasnifu haitakusaidia kumpata mwanaume aliye serious atakaye kufuta machozi kama unavyotarajia magila
nadhani unatakiwa kujitambulisha vizuri zaidi ili ufahamike vizuri wasifu wako.
Mkuu Mwita Maranya mie ndio nina mfuta machozi kaisha nipata soon atakuja hapa magila ku thibitisha yeye mwenyewe
utafutwa machozi kwa kuongezewa kababy kengine kamoja. jiandae kulea tu

King'asti usimtishe mwenzako bana. Hajasema kama anaogopa/hataki/hapendi kuongeza ka baby kengine.
Afu ujue kufutana machozi kukufuatiwa na kababy kunanoga!?
Goodmorning mimi ni mwanamke umri 28.ni mama wa mtoto moja ninatafuta mwanaume wa kunifuta mchoz baadae awe mume wangu.umri wake uwe kuanzia miaka 35 mpaka 50.
asanten na sku njema
magila mama njoo umthibitishie mkuu Mwita Maranya hapa kama sijaanza kukufuta machozi
Kama kweli uko serious hii tasnifu haitakusaidia kumpata mwanaume aliye serious atakaye kufuta machozi kama unavyotarajia magila
nadhani unatakiwa kujitambulisha vizuri zaidi ili ufahamike vizuri wasifu wako.
Goodmorning mimi ni mwanamke umri 28.ni mama wa mtoto moja ninatafuta mwanaume wa kunifuta mchoz baadae awe mume wangu.umri wake uwe kuanzia miaka 35 mpaka 50.
asanten na sku njema
mkuu mimi sijambo. habari yako?. jiandae kuna safari nataka twende mwezi ujao. kuwatembelea marafiki wa jf. miaza siku figganigga?