Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,984
Goodmorning mimi ni mwanamke umri 28.ni mama wa mtoto moja ninatafuta mwanaume wa kunifuta mchoz baadae awe mume wangu.umri wake uwe kuanzia miaka 35 mpaka 50.
asanten na sku njema
Kama kweli uko serious hii tasnifu haitakusaidia kumpata mwanaume aliye serious atakaye kufuta machozi kama unavyotarajia magila
nadhani unatakiwa kujitambulisha vizuri zaidi ili ufahamike vizuri wasifu wako.
Last edited by a moderator: