Mwanaume wa kuzaa nae!

Hapo ni kugegedana hadi mimba ifike miezi 7 au 8 ndo tunaacha. Hadi hapo utakuwa ushakuwa mke kabisa.
 
Mi ninanzo zoote tatizo ni Mkurya,kwani whats wrong with Kabila,Unataka kutambikaa!!!!!!!!!!
Anajua Wakurya hawachii Watoto kiholela( damu ya mkurya haipotei kizembe),hivyo ana hofu,ila watakaopata hiyo fursa kumbuka kupima kwanza.
 
Huyu anataka mgegedo na mume wa mtu sio kingine [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi sio mmojawapo wa makabila ambayo huyataki, njoo pm tuwekane sawa!
 
Ongeza benefits hapo....
1.Mtoto ni damu yangu siwez kumuacha kisa vihela vyako
2.Nikitaka mzigo unanipa muda wowote
3.Mambo yakikukwama baadae tusianze kusumbuana baadae unataka hela ya malezi ya mtoto na wewe uanze kutuma risiti za ada instagram
 
Nikapiga show la uhakika, ukadata, si utataka tena?
 
Hamisa Mobeto naona umekuja kivingine utukwangue tu elfu 70 twetu kwa siku...
 
Wewe unatugeuza wanaume kuwa mabeberu, umetuzalilisha sana hususa sisi waume za watu tena wa 30+.
 

Mm msukuma ila nina 31, years, sifa zingine zote ninazo, nifate mp
 
Umetafakari vizuri kabla hujachukua uamuzi maana malezi ya mtoto yanahiwahitaji wazazi wote any way hongera
 
Kwa vigezo vyako..jipe mimba mwenyewe tuone. .duniani hakuna MTU mbaya.
 
Ayiaaaaaaaaaaa [emoji134][emoji134] basi tena
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mapenzi ya sasahivi bhana hatari sana unachagua kama viatu vya mtumba [emoji23] [emoji23] Mi Masai nakuja Inbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…