Mwanaume wa kuzaa nae!

Nenda jipange kona bar pale..siku moja tu....kwisha habari..
 
aya njoo kwangu mm bado sijaoa ila na ndoto za kuwa msanii mkubwa huyo mtt atakuja kunipa kiki kwenye usanii wangu pindi nikifulia kwenye mistari kama bwana simba
 
Hizo kabila ulizozitaja apo ndio watiaji mimba maalufu apa nchini na wewe uzitaki au unawashwa washwa
 
Yaani siku hizi kila kitu kimerahudusgwa, hadi mbegu za kiume! Nenda kapandikiziwe kama wafanyiwavyo ng'ombe.

Vv
 

Ukiona mtu amekuja PM kwa masharti hayo basi utapata mtu ambae mndani ya mawazo yake ni mwanamke ila umbile lake ni mwnaume
 
wew utaki mtoto bora ungesema mtu mwenye mbegu za kutosha sio kupanga sisi wengine mbegu nzur kabisa ila hatuna uzee wa miaka hiyo uliyo itaja
 
Nipo tayar niyafute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…