Mwanaume wa kuzaa nae!

Mwanaume wa kuzaa nae!

Wanaume wote mtaani hukuona wa kukuzalisha bidada mpaka unakuja kutafuta humu?

Kweli haya majanga, ukifanikiwa kupata usiache kutupa mrejesho.
 
  • Thanks
Reactions: y-n
queen Girl,

kwa habari ya kumzuia mtu asiwe na mahusiano na mtoto wake hapo unaweza ukadanganywa ukapewa mimba halafu jamaa akawa anawatch you movements na mtoto akiwa mkubwa atatafuta tu namna ya kuungana na mtoto wake. kwa mfano akiuchukua huu uzi akatembea nao siku akimwonyesha huyo mtoto hawezi kukataa kwamba sio baba yake, hapo hatujazungumzia DNA etc. hata ukiweka makubaliano ya maandishi nchi hii mtoto ni wa baba kwa hiyo kama mtu atathibitisha alikupa mimba au ana uhusiano na huyo mtoto hutaweza kulizuia hili
 
Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu. Namaanisha kbsa.

Nahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo na hii ni kwaajili ya kunipa mimba tu baada ya mimba sitahitaji tena mawasiliano nae, mtoto atakaye zaliwa atakuwa wa kwangu 100%.

Naweza kumlipa ili asinifuate tena.

Sifa zake

Mrefu, Maji ya kunde.
Mume wa MTU
Miaka 34 nakuelendelea
Mwenye uwezo wa kutungisha mimba
Kabila lolote kasoro, mzalamo, mkurya, muhaya, muha , mnyaturu, mpare, mnyakyusa, mnyamwezi na mgogo.

Zingatia kazi ni moja kunipa mimba baada ya mimba kila mtu anashika uelekeo wake.

Anayejiona anasifa karibu pm.
Njoo PM tuwasiliane
 
Sijaona akina GOVINDA nao watupe ndoano zao?maana mimi nina sifa zote ila GOVINDA...utanisaidiaje ?
 
njoo inbox nina sifa zinazohitajika
 
hahahaaa basi sitasema matatizo yenu kwa sababu ni kabila ambalo nalipenda sana (ila siyo kuwa mmasai yaani napenda uwepo wa wamasai na nina marafiki wamasai wazuri tu) na role model wangu unamjua...rais wa mioyo ya watu
Heheh sawa mkuu Wamasai hatunaga shida kabisa.karibu oldonyo Sambu
 
Back
Top Bottom