Nenda kaandamane tuache sisi ambao sio wanaume tupambanie familia zetu ..hakikisha unaenda ikulu pale ukarushe na mawe uweke Kambi kabisa ulale paleMwanaume wa kweli anapambania taifa siyo familia. Mwanaume wa kupambania taifa ni chawa mithili ya mwijaku.
Mwanaume wa kweli hawezi kuanzisha uzi kusontana na akina mama.
Mwanaume wa kweli hawezi kuhoji uanaume wa wanaume wengine…
Bado unakua ukishamaliza shule tutakufunza critical analysis kwa ss hv kaoshe vyombo ujustify mlo kwa shemeji yakoWewe mwanaume uliendamana kwa kupelekwa mputa mputa na mange na maria umeishia wapi? Au mmeishia wapi