Mwanaume wa zamani akiwa anamtaka mwanamke

NGULI

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2008
Posts
4,801
Reaction score
643
Mwanaume wa zamani akiwa anamtaka mwanamke

1: Akiwa Bar na wamekaa meza moja atazungusha raundi hata kwa hela za kukopa

2: Daladalani atakuwa gentle na kukulipia nauli hata kama ilikuwa yake ya kurudia

3: Kazini atakua anakusifia na kukununulia Lunch-vi tripu tripu na ni promo kama kawa

4: Boss na mwalimu hawa uwa wakali na wafokaji na kuweka mazingira ya uwoga ili akitongoza asikataliwe na Dukani na Masokoni utakuwa unaongezewa kipimo.

Kama ni JF modes atakuwa anakupiga ban za mara kwa mara ili ujibu PM:-*
 
Hahaha nimeipenda hiyo ya mod!Au mdada akitaka kujilengesha anakua mchokozi apate hizo PM za mode!
 
hahahaha Nguli Jabali ..
Ngoja aje atokee hapa INVisible
 
Kama ni JF modes atakuwa anakupiga ban za mara kwa mara ili ujibu PM:-*

Duh!!! Hii KALI ama kweli wewe ni NGULI
 
teh teh tej!
hinyingine zote nakubali ila ya mwisho!!
 
ha ha ha hiyo ya mwisho mwaigopa eeeh?
 
ennhh jaman nampenda mod ata km simjui...thaxx kwa kunipa mbinu ili niweze pata pm ayake na mimi nipate pa kuaazia...LONG LIVE NGULI...
 
ennhh jaman nampenda mod ata km simjui...thaxx kwa kunipa mbinu ili niweze pata pm ayake na mimi nipate pa kuaazia...LONG LIVE NGULI...

Ur welcome Rose am here to help people like u
 
Lakini enzi hizo, wanawake hawakuwa wakaidi, jaribu style hizo siku hizi :suspicious:
 
Hao ni wanaume wa zamani, je wa kisasa wanatongozaje?
 
ennhh jaman nampenda mod ata km simjui...thaxx kwa kunipa mbinu ili niweze pata pm ayake na mimi nipate pa kuaazia...LONG LIVE NGULI...

Hah hah hah, Rose, karo hiyo inahitajika na Nguli!!
 
Hao ni wanaume wa zamani, je wa kisasa wanatongozaje?

wa siku hizi fedha inawanyanyasa sana uchumi umekaa pabaya kwa hio wakware wanatumia huo udhaifu kuwarubuni
 
Hah hah hah, Rose, karo hiyo inahitajika na Nguli!!

fanya donee basi nipate ada iyo nimlipe nguli anipe mistar mwnzako...manake dahh mi kufa kuzikwa kwa mod ata b4 sjamwona...NITAMUOA..STAMCHEZEA...teh teh:kev::kev:.m waitng 4ya doneee man...!!!!!
 
Wameoa hao, ohooooo! Tena wake zao wapo humu humu!

Sidhani kama ni wote moderator 10 ndio namjua mkewe nilikuwa nae kwenye hafla kinondoni ya kutunisha misuli

Wameoa hao, ohooooo! Tena wake zao wapo humu humu!

ameoa...so wat?
inanihusu nini mimi labda?
we vp bwna..KWAN NDOA NDO NIN?
ebu ukooo tokazako mod mwenzangu ma hat goesss mwaaaaapwaaaaaaaabwaaaaaaaaaaaa anytime m thnkng abt u...ngoja nikamchek nguli anpe mistar dnt go ..nsubiri apo apo...
 
Asikuzengue Rose annza hivi

Mode habari yako bana hivi mbona thread haszidisplay
au yangu computer inatatizo upande wa display
sometimes na force CD labda au pengine zaita play
Chakushangza za wengine zoote wanadai zina fly
Hili tatizo ni la muda mrefu linatatiza yangu akili
Sipendi lizidi kunisumbua itanibidi ninywe moja kili

aanzia hapo
 
du,Nguli Jabali!!!!

Between men and women there is no friendship possible. There is passion, enmity, worship, love, but no friendship
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…