Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha umalaya wewe, tamaa zitakuua, kwan mara ya kwanza nan alikushaur?Mwanaume wangu anajua haswa na mwanaume mwingine ananiambia usiniache nitakunulia gari simpendi hata kidogo sasa hivi.nifanyeje
Mwanaume wangu anajua haswa na mwanaume mwingine ananiambia usiniache nitakunulia gari simpendi hata kidogo sasa hivi.nifanyeje
I Like this. Na kuna mtu anaitwa Bramo, akiiona hii post lazima aisindikize na LIKE!yalaaaaaaa.....nilikuwa nasema mie gari kisu cha kuchinjia wanawake. mfano ndio kama huu. sasa demu hampendi jamaa lakini kwa kuwa kahaidiwa gari basi ilisha anza kuthink possibility ya kumkubalia.
its ur time kuwalingishia na kuwasumbua wanaume utakavyo, nakushauri funga safari urudi kijijini kumsalimia bibi, ukifika baada ya salaam muangalie kwa umakini halafu UTAPATA JIBU KWAMBA HATA YEYE ALIWAHI KUWA BINTI.
kama ulikuwa haumpendi ulikuwa nae ili iweje?Wewe utakuwa malaya,mpumbabu mkubwa Wewe,?acha kujiuza