Mwanaume wangu kafulia, simpendi tena kama zamani. Nifanyeje?

Strong and Fearless

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2017
Posts
815
Reaction score
1,983
My man kafulia jamani , before mambo yalikua mazuri alikua anahudumia kila kitu kuanzia rent, my expenses na kila ninachohitaji.

Ila recently tangu last year December Yani mambo yamekua ovyo sana kwake . Yani hela ananipa ila kidogo sana tena ya kusubiri.

Sasa Naona mapenzi kwake yameanza kuisha Yani hadi akinishika huwa najiskia kama kinyaa na hisia hata za sex zimeniishia ila najilazimisha tu, though namuonea huruma kumuacha maana alinililia while he was saying nimvumilie tu kipindi hiki mambo yatakua Sawa tu kuanzia huu mwaka , Ila am tired yoh 😩.

Yani maana last rent ilibidi asimlipie kwanza school fees mwanae anilipie mimi rent kwanza maana nilikua nimenuna sana.

Sasa shida mimi nina best friend wangu wa kiume and I have a crush on him. So ikawa inatokea nikiongea na my man namtaja sana jina lake Sasa aka end up kumjua.

Nikamwambia he is just a friend ila haamini. Sasa sijui nimwambie tu ukweli Au nimvumilie?

Yani Sijui nifanyaje maana hata nikiongeaga nae am not romantic najibu ovyo.
 
2B9X.gif
 
Hizi ndo sababu zinazopelekea wanaume wengi kutokuwa na mahusiano serious na wadada angalia huu ujinga hapa
Ila elewa tu hata huyo unayemuona bira kwa sasa kuna muda na ww atakuona kama takataka tu
Mvumilie mdau mambo hubadirika tu tambua hilo na hawezi kuwa hivyo alivyo sasa siku zote
 
My man kafulia jamani , before mambo yalikua mazuri alikua anahudumia kila kitu kuanzia rent, my expenses na kila ninachohitaji.

Ila recently tangu last year December Yani mambo yamekua ovyo sana kwake . Yani hela ananipa ila kidogo sana tena ya kusubiri.

Sasa Naona mapenzi kwake yameanza kuisha Yani hadi akinishika huwa najiskia kama kinyaa na hisia hata za sex zimeniishia ila najilazimisha tu, though namuonea huruma kumuacha maana alinililia while he was saying nimvumilie tu kipindi hiki mambo yatakua Sawa tu kuanzia huu mwaka , Ila am tired yoh 😩.

Yani maana last rent ilibidi asimlipie kwanza school fees mwanae anilipie mimi rent kwanza maana nilikua nimenuna sana.

Sasa shida mimi nina best friend wangu wa kiume and I have a crush on him. So ikawa inatokea nikiongea na my man namtaja sana jina lake Sasa aka end up kumjua.

Nikamwambia he is just a friend ila haamini. Sasa sijui nimwambie tu ukweli Au nimvumilie?

Yani Sijui nifanyaje maana hata nikiongeaga nae am not romantic najibu ovyo.
Achana naye wala usijiulize sana utakuwa umemsaidia sana ndugu yetu.. Kwa wanaume ups and downs ni kawaida ila wewe humfai fuata huyo crash wako
 
My man kafulia jamani , before mambo yalikua mazuri alikua anahudumia kila kitu kuanzia rent, my expenses na kila ninachohitaji.

Ila recently tangu last year December Yani mambo yamekua ovyo sana kwake . Yani hela ananipa ila kidogo sana tena ya kusubiri.

Sasa Naona mapenzi kwake yameanza kuisha Yani hadi akinishika huwa najiskia kama kinyaa na hisia hata za sex zimeniishia ila najilazimisha tu, though namuonea huruma kumuacha maana alinililia while he was saying nimvumilie tu kipindi hiki mambo yatakua Sawa tu kuanzia huu mwaka , Ila am tired yoh 😩.

Yani maana last rent ilibidi asimlipie kwanza school fees mwanae anilipie mimi rent kwanza maana nilikua nimenuna sana.

Sasa shida mimi nina best friend wangu wa kiume and I have a crush on him. So ikawa inatokea nikiongea na my man namtaja sana jina lake Sasa aka end up kumjua.

Nikamwambia he is just a friend ila haamini. Sasa sijui nimwambie tu ukweli Au nimvumilie?

Yani Sijui nifanyaje maana hata nikiongeaga nae am not romantic najibu ovyo.
Endelea kutumika usijali dear
 
Back
Top Bottom