Mwanaume wangu kafulia, simpendi tena kama zamani. Nifanyeje?

My man kafulia jamani , before mambo yalikua mazuri alikua anahudumia kila kitu kuanzia rent, my expenses na kila ninachohitaji.

Ila recently tangu last year December Yani mambo yamekua ovyo sana kwake . Yani hela ananipa ila kidogo sana tena ya kusubiri.

Sasa Naona mapenzi kwake yameanza kuisha Yani hadi akinishika huwa najiskia kama kinyaa na hisia hata za sex zimeniishia ila najilazimisha tu, though namuonea huruma kumuacha maana alinililia while he was saying nimvumilie tu kipindi hiki mambo yatakua Sawa tu kuanzia huu mwaka , Ila am tired yoh 😩.

Yani maana last rent ilibidi asimlipie kwanza school fees mwanae anilipie mimi rent kwanza maana nilikua nimenuna sana.

Sasa shida mimi nina best friend wangu wa kiume and I have a crush on him. So ikawa inatokea nikiongea na my man namtaja sana jina lake Sasa aka end up kumjua.

Nikamwambia he is just a friend ila haamini. Sasa sijui nimwambie tu ukweli Au nimvumilie?

Yani Sijui nifanyaje maana hata nikiongeaga nae am not romantic najibu ovyo.
Maniner
 
Hivi unawezaje kuandika ujinga wako kwenye mtandao!? Huwezi kumufichia Siri mmeo!! Kizazi Cha hovyo kabisa!! Usimwache huyo mwanaume, inaoneka amekuwa akivumilia ujinga mwingi kutoka kwako!! huko unakotamani kwenda, sizani kama utavumiliwa.
 
My man kafulia jamani , before mambo yalikua mazuri alikua anahudumia kila kitu kuanzia rent, my expenses na kila ninachohitaji.

Ila recently tangu last year December Yani mambo yamekua ovyo sana kwake . Yani hela ananipa ila kidogo sana tena ya kusubiri.

Sasa Naona mapenzi kwake yameanza kuisha Yani hadi akinishika huwa najiskia kama kinyaa na hisia hata za sex zimeniishia ila najilazimisha tu, though namuonea huruma kumuacha maana alinililia while he was saying nimvumilie tu kipindi hiki mambo yatakua Sawa tu kuanzia huu mwaka , Ila am tired yoh 😩.

Yani maana last rent ilibidi asimlipie kwanza school fees mwanae anilipie mimi rent kwanza maana nilikua nimenuna sana.

Sasa shida mimi nina best friend wangu wa kiume and I have a crush on him. So ikawa inatokea nikiongea na my man namtaja sana jina lake Sasa aka end up kumjua.

Nikamwambia he is just a friend ila haamini. Sasa sijui nimwambie tu ukweli Au nimvumilie?

Yani Sijui nifanyaje maana hata nikiongeaga nae am not romantic najibu ovyo.

Ulaaniwe kabisa na laana isikuache kamwe, na hutakaa uone maisha dunia hii.
 
Achana naye uende ukazitafute mwenyewe. Kuzitafuta mbona rahisi tu.
 
Kwani unajiuza kwake? Wewe Una kipi cha ku-offer? Aaaghh wanawake
 
Back
Top Bottom