Mwanaume wangu kafulia, simpendi tena kama zamani. Nifanyeje?

1.Acha longolongo tupe bei?

2.Messi au Ronaldo?

#Kataa ndoa,ndoa ni utapeli!
 
My man kafulia jamani , before mambo yalikua mazuri alikua anahudumia kila kitu kuanzia rent, my expenses na kila ninachohitaji.

Ila recently tangu last year December Yani mambo yamekua ovyo sana kwake . Yani hela ananipa ila kidogo sana tena ya kusubiri.

Sasa Naona mapenzi kwake yameanza kuisha Yani hadi akinishika huwa najiskia kama kinyaa na hisia hata za sex zimeniishia ila najilazimisha tu, though namuonea huruma kumuacha maana alinililia while he was saying nimvumilie tu kipindi hiki mambo yatakua Sawa tu kuanzia huu mwaka , Ila am tired yoh 😩.

Yani maana last rent ilibidi asimlipie kwanza school fees mwanae anilipie mimi rent kwanza maana nilikua nimenuna sana.

Sasa shida mimi nina best friend wangu wa kiume and I have a crush on him. So ikawa inatokea nikiongea na my man namtaja sana jina lake Sasa aka end up kumjua.

Nikamwambia he is just a friend ila haamini. Sasa sijui nimwambie tu ukweli Au nimvumilie?

Yani Sijui nifanyaje maana hata nikiongeaga nae am not romantic najibu ovyo.
Ndo jambo kubwa nililojifunza kwambà kàma huna hela mwanamke anakuona tàkataka tuu.
Nenda kadange hàmna hàja ya kumpa papuchi lofa huyo.
 
My man kafulia jamani , before mambo yalikua mazuri alikua anahudumia kila kitu kuanzia rent, my expenses na kila ninachohitaji.

Ila recently tangu last year December Yani mambo yamekua ovyo sana kwake . Yani hela ananipa ila kidogo sana tena ya kusubiri.

Sasa Naona mapenzi kwake yameanza kuisha Yani hadi akinishika huwa najiskia kama kinyaa na hisia hata za sex zimeniishia ila najilazimisha tu, though namuonea huruma kumuacha maana alinililia while he was saying nimvumilie tu kipindi hiki mambo yatakua Sawa tu kuanzia huu mwaka , Ila am tired yoh 😩.

Yani maana last rent ilibidi asimlipie kwanza school fees mwanae anilipie mimi rent kwanza maana nilikua nimenuna sana.

Sasa shida mimi nina best friend wangu wa kiume and I have a crush on him. So ikawa inatokea nikiongea na my man namtaja sana jina lake Sasa aka end up kumjua.

Nikamwambia he is just a friend ila haamini. Sasa sijui nimwambie tu ukweli Au nimvumilie?

Yani Sijui nifanyaje maana hata nikiongeaga nae am not romantic najibu ovyo.
Chai
 
You just drop Him... And you drop him Faster.

Mahusiano ya leo bila hela ni ungese.

Mwanaume bila hela ni sawa na Ng'ombe!
 
cup-of-tea-teapot.gif
 
Back
Top Bottom