Mwanaume wangu kanifanya nihamie Simba kutoka Yanga

Okrap

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
1,112
Reaction score
2,311
Mwanaume wangu kafanya kweli

Ni mshabiki wa Simba huyu jamaa, kanishangaza hadi kunishika mtima wangu baada ya team yangu kufungwa na Simba, nilikuwa shabiki wa yanga lakini sasa.... .

Akii nimeinjoy kimasihara, leo kachangamka na kachangamka hadi nikamuona yule pastor aliyekuwa ameniteka kihisia hana lolote kabisa.

Ipo hivi tulikuwa umekaa sebuleni tunatambishiana tu kila mmoja akiponda timu upinzani.

Baada tu ya yule jamaa sijui nani Inonga kuingiza goli la kwanza mzee baba alinirukia tukaanguka kwa carpet heheheee kilichotokea hapo nilivishwa mbawa nikapaa hadi mawinguni na kutua mlima kilimanjaro pale kwa wachaga kileleni kabisa

Mambo yakiwa yamenoga nikasikia kwa TV mayoweee sijui nani tena Kibu au aaaassh sikumbuki vizuri ila hilo goli la pili lilisababisha mzee baba anibebe begani na kunipeleka uwanja wa fundi seremala woooi woooi nikapandishwa tena mawinguni na kutua kileleni pale pale kilimanjaro

Nimehama Yanga leo mazima mie sio utoporo tena

I will love you forever my babe
 
Mwanaume wangu kafanya kweli

Ni mshabiki wa Simba huyu jamaa, kanishangaza hadi kunishika mtima wangu baada ya team yangu kufungwa na Simba, nilikuwa shabiki wa yanga lakini sasa.... .


I will love you forever my babe
Haka ka mvua ka leo noma sana 😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…