financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Unawaza minjunjano tu muda wote, endelea mama kwa raha zako hadi hizo figo na maini vihamie upande mwingine[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawaza minjunjano tu muda wote, endelea mama kwa raha zako hadi hizo figo na maini vihamie upande mwingine[emoji3]
Shule za kata zote ni zao la CCM, Yanga nao ni zao la ccm sasa Dr Haya land anaumia sana kwa mshabiki wa yanga kuhamia Simba. 😂😂Why zao la shule za kata mkuu?![]()
IdiotMwanaume wangu kafanya kweli️![]()
Ni mshabiki wa Simba huyu jamaa, kanishangaza hadi kunishika mtima wangu baada ya team yangu kufungwa na Simba, nilikuwa shabiki wa yanga lakini sasa.... .
Akii nimeinjoy kimasihara, leo kachangamka na kachangamka hadi nikamuona yule pastor aliyekuwa ameniteka kihisia hana lolote kabisa.
Ipo hivi tulikuwa umekaa sebuleni tunatambishiana tu kila mmoja akiponda timu upinzani.
Baada tu ya yule jamaa sijui nani Inonga kuingiza goli la kwanza mzee baba alinirukia tukaanguka kwa carpet heheheee kilichotokea hapo nilivishwa mbawa nikapaa hadi mawinguni na kutua mlima kilimanjaro pale kwa wachaga kileleni kabisa️![]()
Mambo yakiwa yamenoga nikasikia kwa TV mayoweee sijui nani tena Kibu au aaaassh sikumbuki vizuri ila hilo goli la pili lilisababisha mzee baba anibebe begani na kunipeleka uwanja wa fundi seremala woooi woooi nikapandishwa tena mawinguni na kutua kileleni pale pale kilimanjaro️![]()
Nimehama Yanga leo mazima mie sio utoporo tena
I will love you forever my babe![]()
Nahisi mko wawili tu ndani yaani mi mashine imenisimama kwa stori yako inaonekana umetuna tuna vizuri eti...Mwanaume wangu kafanya kweli️![]()
Ni mshabiki wa Simba huyu jamaa, kanishangaza hadi kunishika mtima wangu baada ya team yangu kufungwa na Simba, nilikuwa shabiki wa yanga lakini sasa.... .
Akii nimeinjoy kimasihara, leo kachangamka na kachangamka hadi nikamuona yule pastor aliyekuwa ameniteka kihisia hana lolote kabisa.
Ipo hivi tulikuwa umekaa sebuleni tunatambishiana tu kila mmoja akiponda timu upinzani.
Baada tu ya yule jamaa sijui nani Inonga kuingiza goli la kwanza mzee baba alinirukia tukaanguka kwa carpet heheheee kilichotokea hapo nilivishwa mbawa nikapaa hadi mawinguni na kutua mlima kilimanjaro pale kwa wachaga kileleni kabisa️![]()
Mambo yakiwa yamenoga nikasikia kwa TV mayoweee sijui nani tena Kibu au aaaassh sikumbuki vizuri ila hilo goli la pili lilisababisha mzee baba anibebe begani na kunipeleka uwanja wa fundi seremala woooi woooi nikapandishwa tena mawinguni na kutua kileleni pale pale kilimanjaro️![]()
Nimehama Yanga leo mazima mie sio utoporo tena
I will love you forever my babe![]()
[emoji23][emoji23][emoji23]yaan wadada design yako mnajikutaga mahustler kichizi......aya tuonyeshe balance ya iyo bank account yako wewe ambae unawaza kazi muda woteUnawaza minjunjano tu muda wote, endelea mama kwa raha zako hadi hizo figo na maini vihamie upande mwingine[emoji3]
Mrukie mkeo kisha umgalagaze kwa carpet 😍Nahisi mko wawili tu ndani yaani mi mashine imenisimama kwa stori yako inaonekana umetuna tuna vizuri eti...
ChaiMwanaume wangu kafanya kweli️![]()
Ni mshabiki wa Simba huyu jamaa, kanishangaza hadi kunishika mtima wangu baada ya team yangu kufungwa na Simba, nilikuwa shabiki wa yanga lakini sasa.... .
Akii nimeinjoy kimasihara, leo kachangamka na kachangamka hadi nikamuona yule pastor aliyekuwa ameniteka kihisia hana lolote kabisa.
Ipo hivi tulikuwa umekaa sebuleni tunatambishiana tu kila mmoja akiponda timu upinzani.
Baada tu ya yule jamaa sijui nani Inonga kuingiza goli la kwanza mzee baba alinirukia tukaanguka kwa carpet heheheee kilichotokea hapo nilivishwa mbawa nikapaa hadi mawinguni na kutua mlima kilimanjaro pale kwa wachaga kileleni kabisa️![]()
Mambo yakiwa yamenoga nikasikia kwa TV mayoweee sijui nani tena Kibu au aaaassh sikumbuki vizuri ila hilo goli la pili lilisababisha mzee baba anibebe begani na kunipeleka uwanja wa fundi seremala woooi woooi nikapandishwa tena mawinguni na kutua kileleni pale pale kilimanjaro️![]()
Nimehama Yanga leo mazima mie sio utoporo tena
I will love you forever my babe![]()
Iwe msigazi toina magezi[emoji23][emoji23][emoji23]yaan wadada design yako mnajikutaga mahustler kichizi......aya tuonyeshe balance ya iyo bank account yako wewe ambae unawaza kazi muda wote
Nawasilisha
Wako mtuiifuuu
Labia majora
L.majora
NAKAZIA.Jamii Forums imevamiwa na watu wajinga mnoo.
Huyo demu ni mjinga kiwango cha lamiJamii Forums imevamiwa na watu wajinga mnoo.
Chonka iwee mshaijaIwe msigazi toina magezi
Kumbe upo humu kwa show off? kuonyeshana balance for what? Kuna sehemu nimekwambia nawaza kazi muda wote, haya account yangu ina overdraft so ushari wako ni upi?[emoji23][emoji23][emoji23]yaan wadada design yako mnajikutaga mahustler kichizi......aya tuonyeshe balance ya iyo bank account yako wewe ambae unawaza kazi muda wote
Nawasilisha
Wako mtuiifuuu
Labia majora
L.majora