Maisha yanaenda kasi sana wanaume wameondoka kuwekeza kwenye uchumi wamehamia kuwekeza kwenye dushe
Mungu tupe mwanga mpya
Bomba la point mzee... 👏Heshima ya baba, gari ikija kuvuta majitaka
Mgegedo ni moja ya majukumu ya ndoa. Mtoa mada nini kimekupata hadi uje utuhusie hivyo?.
Mkuu unajua mwanamke anahitaji niniMkuu, suala la uchumi linaingia hapo kwenye “Pamoja na mambo mengine”.
Ni wangapi wenye uchumi imara wanafedheheka na hata kufa kisa kukosa kazi ya dushe?
wakorea tunapenda tuNyie mnajali nini huko?
Umemaliza hapa ... Bonge la point [emoji375][emoji375][emoji375][emoji375]Mkuu unajua mwanamke anahitaji nini
Mwanamke anahitaji mwanaume anae mfanya aonekane ni miongoni mwa wanawake bora
Alie wekeza kwenye dushe anakimbiwa kisa mwanamke hawezi kula dushe
Alie wekeza kwenye uchumi anakimbiwa kisa anajali zaidi pesa kuliko mwanamke wake
Mwanamke ulie nae ndio atakuonyesha uwekeze kwenye nini