Mwanaume wekeza sana nguvu kwenye kuimarisha 'gegedo' lako, sehemu kubwa ya furaha ya utu-uzima hutegemea zaidi eneo hilo


Hayo mengi unayoona ya kufurahia kwenye maisha, mengine yana ukomo kulingana na umri.

Hili la mgegedo huwezi kuliona leo kwa vile bado unakimbizana na hizo furaha nyinginezo, itafika muda utahitaji dushe zaidi ili kuendelea kupewa heshima yako.

Kinyume na hapo, mengine yote yatakuwa ubatili na utalia na kusaga meno.[emoji16]
 
Ndoa ni taasisi yenye mambo mengi.

Kuna wakati Mke akijifungua, upendo wake wote hugeukia kwa mtoto hivyo migegedo inakuwa sio inshu kwake.

Kuna wakati ndoa inakuwa na magomvi, chuki, visirani na kununiana. Kipindi hiki pia migegedo automaticall inapwaya na kupelekea kuwaza mechi za ugenini. Kifuatacho hapo ni uwezo wa mtu kuweza kuhimili machukizo ya ndani.
 
Watu masikini ndio tunawekeza kwenye migegedo. Hata siku moja huwezi kusikia tajiri anasemwa ana kibamia au huwezi kusikia mwanamke analalamika tajiri hamfikishi kileleni.

Pesa inafunika mambo mengi, lakini itakupa furaha ya bandia.

Imagine unajua kabisa mkeo kakupendea pesa tu, lazima uhisi kuna sehemu analiwa... kama haliwi basi ujue amekubali kuteseka kwajili yako tu!
 

Ni kweli mkuu, ila unaweza kuhimili yote hayo ikiwa tu uwezo wako kwenye eneo hilo si wa kutiliwa shaka.

Kuna changamoto nyingine ikiwemo maradhi, haya pia hupelekea tendo kuzorota... kujiepusha na hayo maradhi yanayoepukika ndo msingi wa hoja yangu.

Unaweza kuchukulia poa leo, kwa kuwa bado una vipaumbele vingine... ila siku itafika ndo utaelewa kwa nini hukupaswa kupuuza hili.
 
Wewe huhusiki, hivyo kaa kwa kutulia... ila likimfika mumeo huko uzeeni utaona utavyomsimanga.
Yaani uzeeni nianze liliabgegedo? Huo si umri wa kusomesha na kujijenga zaidi?mie mwanaume anayewaza mapenzi 24/7 siwezan naye kbs
 
Yaani uzeeni nianze liliabgegedo? Huo si umri wa kusomesha na kujijenga zaidi?mie mwanaume anayewaza mapenzi 24/7 siwezan naye kbs

Hii mada usiitazame kwa ubinafsi, fikiria mfano huyo mumeo na wanao wa kiume.... unawapa/unawaepusha chakula gani ili kuhakikisha afya yao huo inakuwa imara?
 
Unakuta una gegedo zuri afuu huna mtonyo.
Hapo hawezitoka kwenda kufanya gegedo la nje kisa mtonyo.

Nawaza kwa sauti"
 
Ko ndugu gegedo na lenyewe halina ukomo sio...[emoji1787][emoji1787] Acha hizo ..hebu fikiri kwa mapana....by the way on my intellectual capacity and vast knowledge I have about worldly affairs sijawahi sikia mtu kafa kwa kukosa kugegedana...wewe kama ndio unaona gegedo ni kipaumbele chako usilazimishe wengine iwe ni kipaumbele kwao...

MÊmENtO HoMO
 

Ni wapi nimelazimisha mkuu? Lakini amini amini nakwambia, ni wengi tu wamejitoa uhai kwa msongo wa mawazo kisa dushe la kibisa.

Endelea kukaza fuvu kwa kuwa leo gegedo lipo na linakutetea, hadi usiku utapokwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…