Mwanawake soma hiyoooo

leonardbuba

Member
Joined
Nov 30, 2017
Posts
47
Reaction score
26
Unajua wanawake wengi sasa hivi wanalalamika wanaume tuna vibamia na hatuwalizishi, sasa kwani nyie mnahitaji tuwe tunashiriki tendo la ndoa kama mashindano na sio starehe ilhari ni kitu cha kufurahia ila nyinyi mnahitaji tukae vifuani kwenu saa nzima na hilo/hicho ndicho chanzo kikuu cha upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume,kwanini?
Kwa maana wanaume wengi tunakosa kujiamini na tunapelekea kuanza kutumia dawa kadhaa wa kadhaa ambazo zinafanya tunapoteza kabisa nguvu za kiume na ushupavu kwenye tendo. Sasa swali langu nyie wanawake mnataka tuwe kunakeshea vifuani kwenu? Tujuzane sio ambao hatutaki dawa zaidi ya nguvu za asili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uoga timiza majukumu yako. Kama huwezi tukusaidie, saa 1!
 
hapa inabidi utafiti bamia au mabwawa? maana sasa inabidi tujue chanzo ni bamia au mabwawa yao

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…