Mwandambo: Mimi ni mzalendo sijiiti mwanaharakati ninaumia na mambo yaliyopo

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mimi ni mzalendo sijiiti mwanaharakati ninaumia na mambo yaliyopo maana yake unakuta katika nchi ya Tanzania walioajiriwa serikalini wanajikuta mabosi wa wananchi"

Hayo ameyasema Clemence Mwandambo wakati akihojiwa na Jambo TV akieleza kuwa moja ya mambo ambayo yamekuwa yakimuumiza ni waajiriwa wa serikalini ambao wanapaswa kuwatumikia wananchi kugeuka na kujiona mabosi kwa wananchi na kupoteza sifa ya kuwahudumia wananchi ambao ndio waajiri wao.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…