LGE2024 Mwandikishaji Njombe: Mwitikio wa wananchi kujiandikisha Uchaguzi Serikali za Mitaa ni wa wastani, hamasa zaidi inahitajika

LGE2024 Mwandikishaji Njombe: Mwitikio wa wananchi kujiandikisha Uchaguzi Serikali za Mitaa ni wa wastani, hamasa zaidi inahitajika

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Mwandikishaji kutoka mtaa wa jeshini, makambako Njombe kutoka aliyejitambulisha kwa jina la Pasdia Kayombo, asema mwitiko wa wananchi kushiriki kwenye kujiandikisha uchaguzi wa serikali za mitaa ni wa wastani, na kwamba umeongezeka kidogo baada ya hamasa kuongezwa akiongeza kuwa ni muhimu elimu kuendelea kutolewa ili wajiandikishe sababu viongozi watakaowachagua ndio watakaowasimimamia na kushirikiana katika kuleta maendelo.

Kupata matukio yote kuhusu mkoa huu soma: Yanayojiri kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoa wa Njombe

Pasdia awahimiza wananchi wanednelee kujitokeza kujiandikisha japokuwa zoezi linaenda kuhitimimishwa leo Oktoba 20, 2024.

Mwandikishaji mwingine hakuwa mbali na Pasdia na kusema angalau hali inatia moyo siku zilivyosonga, kwani mwanzoni hali ilikuwa hairidhishi.

Pia soma:
LGE2024 - Uzi Maalum wa Kasoro na Rafu kwenye zoezi zima la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

 
Swali zile sheria za uchaguzi zimebadilishwa ilk ziendane na wakati ?Katiba imebadilishwa ?Hiyo Kura yako inalindwa na Nani???
 
Hakuna uwezekano wa watu kuendelea kujitokeza kwenye chaguzi za kihuni.
 
Back
Top Bottom