Mbona hakukosea saaanaaa spellings kama kweli hajui japo neno moja la English? Unadhani akiulizwa swali hilo hilo kwa Kiswahili ndio ataweza kulijibu kama inavyotakiwa? Mbona hata Kiswahili chenyewe wamefeli kupiata maelezo?
duh....umenichekesha mkuu!!! na huyu alikua anatarajia kwenda a-level tena pcb mhhh!!! hapa kazi ipo....ivi ule mtihani wa fom2 upo...nadhani ungepunguza haya matatizo...