Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
CCM ni hovyo sana!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataje tuwajuwe!Uwezo wa huyu mama kuongoza nchi ni mdogo mno,anapenda kusifiwa tu kama alivyokuwa Magufuli,kuna makumi ya watu wamepotea Tangu Samia awe Rais,bado Tanzania siyo salama hata kidogo kwa waandishi werevu wa Habari,labda makanjanja ya CCM ndo yapo salama,yote kwa yote, MUNGU yupo,yuko wapi Magufuli?
Duniani tunapitia ttu,acha watese watu ipo siku yao.
Unaweza kuta yale yaliyosema ni Magufuli kumbe alikuwa ni Chura, maana anasema yeye huwa hasemi,anakaa kimya tu.Duh...!, hizi mambo zimeanza tena?!..., au Maza nae anaelekea kuwa like Maza like Faza?!.
Tusubirie taarifa ya Edwin Soko wa MPC, kuthibitisha ni polisi maana Waandishi wa Habari na Kupotea/Vifo vya Kutatanisha, Toka Katabalo, Saanane, Gwanda, Mwangosi, Isango. Ni Ama Tuombe Mungu Atunusuru ama...
P
Viongozi wengi wana tabia za ovyo tu .....Mimi wala sina tatizo tundu gani kaingiliwa na kwa umri wake sheria inamruhusu kufanya tendo la ndoa na mtu wa umri wa rika linaloruhusiwa.
Shida ni kwamba hata kama huyo dada angekuwa mtu wake wa kila siku au malaya anaeijiuza na washakutana mara kadhaa.
Iła siku inayolalamikiwa huyo dada akutaka kutoa mzigo sasa it doesn’t matter ni mtu wake au la; kumuingilia mtu bila ya idhini yake ni ubakaji simple as that.
Halafu kiongozi gani ana tabia za hovyo kuparamia watu kwenye magari nje ya bar hilo tu tosha kufukuzwa kazi hata kama ingekuwa consensual act.
Jamaa ni mtu wa hovyo na serikali imepata ‘scapegoat’ ya kutuma salamu kwa wengine. Kama wanaweza deal na kigogo basi wengine wajue hawako salama na hizo tabia jeshi la polisi aiwezi vumilia ni ubakaji wa kutumia kilevi.
Hii kesi kama wako serious na hali mbaya ya mmomonyoko wa maadili inayoendelea huyo mkuu wa mkoa anatakiwa kuwa mfano wa kutuma salamu kwa wengine kwenye jamii.
Unataka kutunga zakoOngeza picha zake tunaweza kuwa na sababu kwanini aliandika na kwanini kakamatwa....
Hayo ni maelekezo toka juu.Hali imeanza kuwa tete......Vijana wa ccm wanataka pia ..X..(Tweter), ifungiwe Tanzania 😀 😀
anaitwa tumsime mathias, 2019 alimsingizia boda kambaka kumbe alijipeleka mwenyewe kwa boda badala ya kwenda shule kama alivoaga kwa wazaziyeUna uhakika na usemayo? Unamjua huyo binti?
nipe kombe langu.Umeshinda
siwez kujizuia kulia nikikuona unalia, uz utakuliza huo madame, watu tumepitia makubwa usione tunatanianataniana hapa.Nitag ule uzi ulioniambia
Kwa hiyo hawa mbwa wanaovaa magwanda wanalinda majahili wanaolawiti binti zetu! iko siku tutavamia vitua kwa polisi na silaha zote jadi siku yaja ooh yaja iko karibu!
Kuna taarifa za kukamatwa kwa Mwandishi wa Habari, Dinna Maningo ambae pia ni mmiliki wa Dima Online aliyechapisha kwa mara ya kwanza taarifa ya tuhuma za aliyekuwa RC Simiyu kulawiti, mwandishi huyu amekamatwa Tarime usiku wa kuamkia Juni 13, 2024.
Taarifa za awali zinadai kuwa mwandishi huyu kakamatwa Tarime mkoani Mara na Askari kutoka mkoa wa Mwanza na amesafirishwa kwenda Mwanza .
Matukio Daima Media inamtafuta RPC wa Mara na Mwanza kwa taarifa kamili.
CHANZO - MATUKIO DAIMA MEDIA
============
Awali, kulikuwa na taarifa kuwa amesafirishwa kwenda Mwanza lakini Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza (MPC), Edwin Soko amesema “Ni kweli tumejulishwa kuwa baada ya kukamatwa akiwa Tarime walitaka kumleta Mwanza na wakati wanaondoka naye wakasema wanamleta Mwanza ila huku hajafika, inavyoonekana yupo hukohuko Tarime.”
Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mara (MRPC), Mugini Jacob amesema “Alikamatwa na Askari Polisi, jana jioni majira ya Saa Mbili Usiku (Juni13, 2024), akafikishwa Kituo cha Polisi Tarime, nilionana na Dinna lakini alikuwa hajaambiwa kosa lake ni lipi.”
JESHI LA POLISI
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Polisi Tarime Rorya, SACP Mark Njera hajapatikana kuzungumzia kinachoendelea.
=================
Mara Press Club yaliomba Jeshi la Polisi Mwanza kuweka wazi tuhuma za mwandishi wa habari Dinna
Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mara (MRPC) imeliomba Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kuweka wazi tuhuma zinazomkabili mwandishi wa habari wa blogu ya Dima Online, Dinna Maningo.
“Tuna imani Jeshi la Polisi mkoani Mwanza litatoa taarifa kuhusu tuhuma zinazomkabili mwandishi na mwanachama wetu wa Mara Regional Press Club, ndugu yetu Dinna Maningo bila kuchelewa," Mwenyekiti wa MRPC, Mugini Jacob amesema katika taarifa yake kwa vyombo vya habari leo Juni 14, 2024.
Jacob amesema Dinna alikamatwa nyumbani kwake mjini Tarime, Mara jana majira ya saa mbili usiku na hadi leo mchana alikuwa anashikiliwa katika kituo cha polisi Tarime
“Mara tu baada ya kukamatwa kwa Dinna nilipata taarifa na nilifika kituo cha polisi Tarime, tukaonana, alikuwa vizuri lakini aliniambia polisi waliomkamata hawakumwambia sababu ya kumkamata," Jacob amesema kwa kifupi.
Jacob amesema leo Ijumaa pia amefika katika kituo cha polisi Tarime na kuonana na Dinna ambapo amemueleza kuwa askari polisi waliomkamata wamemwambia wanamsafirisha kwenda jijini Mwanza wakati wowote kuanzia sasa.
Hata hivyo, Mwenyekiti huyo amesema MRPC inawasiliana kwa karibu na uongozi wa Mwanza Press Club ili kusaidiana kufuatilia tukio hilo.
“Tuna imani jeshi letu la polisi litafanya kazi yake kwa weledi ili haki iweze kutendeka kwa wakati," amesema Jacob.
Chanzo: maraonlinenews
==================
=====
Pia soma: MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
unaanzaje kufurah mambo ya kuliza? uzi ulikuwa na 20+ pages, ila koments za kejel zilikuwa 3 tu, na baada ya kuwajbu waliomba msamaha.Usinifanyie hivyo nitag nifurahi
Ila mwisho angeshindwa TU!Huyo hakuwa na back up tu, angepata wazoefu wakampa shule angekusumbua sana tu
Deal wakati victim kaenda ku-report mwenyewe na ameenda kutoa vipimo kama ushahidi.
Mabaradhuli kama nyie mnaotetea huo ushenzi utakuta ndio tabia zenu kuwachukua mabinti kuwalewesha saa zingine kuwawekea mihadharati na kuwafanyia mambo ya hovyo.
Huyo mkuu wa mkoa kabaka hakuna kingine. Watu wanaotetea ujue na wenyewe ndio tabia zao.
Serikali inatakiwa kumfanya huyo mkuu wa mkoa mfano kama njia ya kuwapa nguvu na imani wanawake kujitokeza. Kwa sababu inaonekana kuna mijitu mingi inatabia hizo na yenyewe inaona matendo yao sawa.
Utakuta kuna wanawake wengi sana wapetia rape za namna hiyo wanaona aibu tu kujitoleza.
Useless kabisa watu kama nyie, ningekuwa mod natoa tu ID zenu kwa ndugu na jamaa waje walipe visasi kwe
Pole sana; hujanielewa.Deal wakati victim kaenda ku-report mwenyewe na ameenda kutoa vipimo kama ushahidi.
Mabaradhuli kama nyie mnaotetea huo ushenzi utakuta ndio tabia zenu kuwachukua mabinti kuwalewesha saa zingine kuwawekea mihadharati na kuwafanyia mambo ya hovyo.
Huyo mkuu wa mkoa kabaka hakuna kingine. Watu wanaotetea ujue na wenyewe ndio tabia zao.
Serikali inatakiwa kumfanya huyo mkuu wa mkoa mfano kama njia ya kuwapa nguvu na imani wanawake kujitokeza. Kwa sababu inaonekana kuna mijitu mingi inatabia hizo na yenyewe inaona matendo yao sawa.
Utakuta kuna wanawake wengi sana wapetia rape za namna hiyo wanaona aibu tu kujitoleza.
Useless kabisa watu kama nyie, ningekuwa mod natoa tu ID zenu kwa ndugu na jamaa waje walipe visasi kwenu.
Kwa Nini hakukamatwa Askari Polisi aliyevujisha Nyaraka za Siri (Classified documents) humu mtandaoni kuhusu suala hili badala yake anakamatwa mwandishi wa Habari???
Kuna taarifa za kukamatwa kwa Mwandishi wa Habari, Dinna Maningo ambae pia ni mmiliki wa Dima Online aliyechapisha kwa mara ya kwanza taarifa ya tuhuma za aliyekuwa RC Simiyu kulawiti, mwandishi huyu amekamatwa Tarime usiku wa kuamkia Juni 13, 2024.
Taarifa za awali zinadai kuwa mwandishi huyu kakamatwa Tarime mkoani Mara na Askari kutoka mkoa wa Mwanza na amesafirishwa kwenda Mwanza .
Matukio Daima Media inamtafuta RPC wa Mara na Mwanza kwa taarifa kamili.
CHANZO - MATUKIO DAIMA MEDIA
============
Awali, kulikuwa na taarifa kuwa amesafirishwa kwenda Mwanza lakini Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza (MPC), Edwin Soko amesema “Ni kweli tumejulishwa kuwa baada ya kukamatwa akiwa Tarime walitaka kumleta Mwanza na wakati wanaondoka naye wakasema wanamleta Mwanza ila huku hajafika, inavyoonekana yupo hukohuko Tarime.”
Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mara (MRPC), Mugini Jacob amesema “Alikamatwa na Askari Polisi, jana jioni majira ya Saa Mbili Usiku (Juni13, 2024), akafikishwa Kituo cha Polisi Tarime, nilionana na Dinna lakini alikuwa hajaambiwa kosa lake ni lipi.”
JESHI LA POLISI
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Polisi Tarime Rorya, SACP Mark Njera hajapatikana kuzungumzia kinachoendelea.
=================
Mara Press Club yaliomba Jeshi la Polisi Mwanza kuweka wazi tuhuma za mwandishi wa habari Dinna
Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mara (MRPC) imeliomba Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kuweka wazi tuhuma zinazomkabili mwandishi wa habari wa blogu ya Dima Online, Dinna Maningo.
“Tuna imani Jeshi la Polisi mkoani Mwanza litatoa taarifa kuhusu tuhuma zinazomkabili mwandishi na mwanachama wetu wa Mara Regional Press Club, ndugu yetu Dinna Maningo bila kuchelewa," Mwenyekiti wa MRPC, Mugini Jacob amesema katika taarifa yake kwa vyombo vya habari leo Juni 14, 2024.
Jacob amesema Dinna alikamatwa nyumbani kwake mjini Tarime, Mara jana majira ya saa mbili usiku na hadi leo mchana alikuwa anashikiliwa katika kituo cha polisi Tarime
“Mara tu baada ya kukamatwa kwa Dinna nilipata taarifa na nilifika kituo cha polisi Tarime, tukaonana, alikuwa vizuri lakini aliniambia polisi waliomkamata hawakumwambia sababu ya kumkamata," Jacob amesema kwa kifupi.
Jacob amesema leo Ijumaa pia amefika katika kituo cha polisi Tarime na kuonana na Dinna ambapo amemueleza kuwa askari polisi waliomkamata wamemwambia wanamsafirisha kwenda jijini Mwanza wakati wowote kuanzia sasa.
Hata hivyo, Mwenyekiti huyo amesema MRPC inawasiliana kwa karibu na uongozi wa Mwanza Press Club ili kusaidiana kufuatilia tukio hilo.
“Tuna imani jeshi letu la polisi litafanya kazi yake kwa weledi ili haki iweze kutendeka kwa wakati," amesema Jacob.
Chanzo: maraonlinenews
==================
=====
Pia soma: MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
Duh! Kwamba amemuharibia kiongozi..
Hakumsingizia, tafuta hukumu uisome. Binti alikuwa kidato Cha pili na alikuwa na miaka 16, alikuwa na boyfriend bodaboda, walikubaliana aondoke kwao Ili amuoe..wakakamatwa na polisi. Kwakuwa alikuwa underage bodaboda alifunguliwa kesi ya ubakaji. Katika ushahid mahakamani huyu binti hakusema kwamba alibakwa, alisema walifanya mapenzi na walikubaliana atoroke kwao Ili waende Moro amuoe. Yule jamaa alihukumiwa miaka 30 jela kwa kubaka lkn badae alikata rufaa akapunguziwa kifungo Hadi miaka Saba.anaitwa tumsime mathias, 2019 alimsingizia boda kambaka kumbe alijipeleka mwenyewe kwa boda badala ya kwenda shule kama alivoaga kwa wazaziye