Wataje tuwajuwe!
 
Unaweza kuta yale yaliyosema ni Magufuli kumbe alikuwa ni Chura, maana anasema yeye huwa hasemi,anakaa kimya tu.
Sasa kwakuwa Magufuli alikuwa naongea ongea watu wakadhani ni yeye.
Tusubiri.
 
Viongozi wengi wana tabia za ovyo tu .....
Na kwa huyo dada kuliwa jicho hiyo kawaida yao na tamaa zao tu

Ova
 
Haya maswala ya kumkamata mtu mnazunguka nae vituo bila kumwambia KOSa lake ni nini, ni ya kijinga na kipuuzi sana.
 
Kwa hiyo hawa mbwa wanaovaa magwanda wanalinda majahili wanaolawiti binti zetu! iko siku tutavamia vitua kwa polisi na silaha zote jadi siku yaja ooh yaja iko karibu!
 
Mkuu kunani? Mbona unaumia na kufikia hatua ya kulia kana kwamba wewe ndiye uliyebakwa? Wewe ni mwanamke au mwanaume?

Kama imekuuma sana watu kuhoji uhalali wa RC kukamatwa, pamoja na ukweli kuhusu kubakwa kwa binti, BASI NI VIZURI UKABAKWE NA WEWE!

NB
Ni maoni yangu!


 
Pole sana; hujanielewa.
Nilichosema NI KWAMBA MATUKIO HAYA yamekuwa yakipangwa KWA MAKUSUDI, WATU WANAPEWA HELA ILI wafanye TUKIO la kipumvavu halafu wakati huo huo liwe publicized. KWA HIYO niliokuwa nasema KUWA wanapewa HELA NI HUYU MWAANDISHI aliyekamatwa PAMOJA NA WALE wahusika WA TUKIO lanyewe. Unatakiwa MAKINI KWENYE mitandao, soma hoja za watu, KWA makini, epuka kutukana; ni upumbavu
Pole sana
 
Kwa Nini hakukamatwa Askari Polisi aliyevujisha Nyaraka za Siri (Classified documents) humu mtandaoni kuhusu suala hili badala yake anakamatwa mwandishi wa Habari???
 
anaitwa tumsime mathias, 2019 alimsingizia boda kambaka kumbe alijipeleka mwenyewe kwa boda badala ya kwenda shule kama alivoaga kwa wazaziye
Hakumsingizia, tafuta hukumu uisome. Binti alikuwa kidato Cha pili na alikuwa na miaka 16, alikuwa na boyfriend bodaboda, walikubaliana aondoke kwao Ili amuoe..wakakamatwa na polisi. Kwakuwa alikuwa underage bodaboda alifunguliwa kesi ya ubakaji. Katika ushahid mahakamani huyu binti hakusema kwamba alibakwa, alisema walifanya mapenzi na walikubaliana atoroke kwao Ili waende Moro amuoe. Yule jamaa alihukumiwa miaka 30 jela kwa kubaka lkn badae alikata rufaa akapunguziwa kifungo Hadi miaka Saba.
 
nazani ni njia sahihi ya kufanya uchunguzi kwani yeye ndiye aloleta taharuki lazima uchunguzi uanzie kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…