Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sana kusikiliza maswali yanayoulizwa na Waandishi. Unauonaje uraisi? Tupewe safari za UN, tupewe nafasi ya matangazo? Kweli?
Naomba uniorodheshee maslahi ya taifa mkuu. Nna mtihani kesho. ShukraniWametanguliza maslahi yao zaidi si maslahi ya taifa.
Ndiyo maana wanataka mgao kama bunge na mahakama. Wanahitaji kujua watahusishwaje kwenye Corona pia hawajioni kwenye mpango wa miaka 5 wa serikali.
Pathetic!
Naomba uniorodheshee maslahi ya taifa mkuu. Nna mtihani kesho. Shukrani
Nafikiri kabla ya katiba mpya tungepata kuainisha hizo maslahi za taifa kwanza maana hazijulikani huwa tunaishia tu kusema "kwa maslahi ya taifa" je ni ardhi dhahabu tanzanite usalama wa nchi au?Hitajio la uwepo wa katiba mpya, kuheshimiwa kwa haki, uhuru wa watu na utawala wa sheria hayawezi kuwa maslahi binafsi...
Wateja wataendaje wakati kanun zilibadilishwa kimya kimya ili matangazo ya serikali yasiende kwenye vyombo binafsi?? Unaona hiyo billion nane wanayoudai serikali kuwa n ndogo?Matangazo mpaka upigiwe pande? Wajiongeze ili wateja waende kwao sio mpaka Boss aseme?
Bora hata wazee wa Dar es Salaam wanajielewa
Bongo kila mtu sasa hivi anaangalia maslahi yake.Wametanguliza maslahi yao zaidi si maslahi ya taifa.
Ndiyo maana wanataka mgao wa pesa kama bunge na mahakama. Wanahitaji kujua watahusishwaje kwenye Corona pia hawajioni kwenye mpango wa miaka 5 wa serikali...