Mwandishi Ansbert Ngurumo apewa hifadhi kwa usalama wake nchini Finland

Wengine tulidai kuna raia tu watafuata mkumbo..

Ebu tufuatilie thread za Ansbert Ngurumo..zaleta picha za kuchanganya, anasifu, anaponda, anasifu, anaponda, mwisho anahofia maisha yake! Duh...

Ansbert Ngurumo amchana Kikwete live... Ansbert Ngurumo amchana Kikwete live... via JamiiForums
Ansbert Ngurumo anauliza: Maamuzi magumu? Mbona tuko gizani? Ansbert Ngurumo anauliza: Maamuzi magumu? Mbona tuko gizani? via JamiiForums
Ngurumo acha kumchafua JK baada ya kukunyima nafasi Ikulu Ngurumo acha kumchafua JK baada ya kukunyima nafasi Ikulu via JamiiForums
Ansbert Ngurumo: Muone, kichwa kama CCM Ansbert Ngurumo: Muone, kichwa kama CCM via JamiiForums
Ansbert Ngurumo endorses lowassa for presidency 2015? Ansbert Ngurumo endorses lowassa for presidency 2015? via JamiiForums
Ansbert Ngurumo: Roma 1,300, CCM 50 Ansbert Ngurumo: Roma 1,300, CCM 50 via JamiiForums
Ngurumo avuruga ziara ya Slaa Kagera! Ngurumo avuruga ziara ya Slaa Kagera! via JamiiForums
Ansbert Ngurumo awamwagia Pongezi za ushindi kwa Makamanda wa CHADEMA! Ansbert Ngurumo awamwagia Pongezi za ushindi kwa Makamanda wa CHADEMA! via JamiiForums
Swali la Ngurumo kwa Rais Kikwete ... nani wa kumsaidia kumjibu? Swali la Ngurumo kwa Rais Kikwete ... nani wa kumsaidia kumjibu? via JamiiForums
Ansbert Ngurumo: Kikwete anajua CCM bingwa wa udini? Ansbert Ngurumo: Kikwete anajua CCM bingwa wa udini? via JamiiForums
Ansbert Ngurumo: Lowassa Mpya Amenikumbusha Makubwa Ansbert Ngurumo: Lowassa Mpya Amenikumbusha Makubwa via JamiiForums
Ngurumo ampongeza Rais Magufuli Ngurumo ampongeza Rais Magufuli via JamiiForums
Daniel Ngogo, Ansbert Ngurumo kupigania ubunge Mahakamani Daniel Ngogo, Ansbert Ngurumo kupigania ubunge Mahakamani via JamiiForums
Ansbert Ngurumo aonya maamuzi ya Rais na kutoshaurika Ansbert Ngurumo aonya maamuzi ya Rais na kutoshaurika via JamiiForums
Ansbert Ngurumo: Taifa linaelekea pabaya sana Ansbert Ngurumo: Taifa linaelekea pabaya sana via JamiiForums
Ansbert Ngurumo: Muda wowote naweza kufa maana natishiwa kifo Ansbert Ngurumo: Muda wowote naweza kufa maana natishiwa kifo via JamiiForums
 
Definition ya ukimbizi inaeleweka vizuri au...tunaandika tu ukimbizi.
Still Tanzania is the best place to live ever seen
Hovyooo[emoji83] [emoji379] [emoji61] [emoji218] [emoji196]
 
Njaa mbaya sana kwa waandishi wa habari. Ndio maana hata mauji ya kimbali kule Rwanda yalichochewa na waandishi wa habari mwaka 1994.

Ansbert Ngurumo aliwaaminisha watu kuwa Chato imegeuka kuwa Gbolite ya Maboto.

Aliwaaminisha watu kuwa Chato kuna Mabunker ya kutuzia pesa za umma zilizoibwa bila hata aibu.

Alimkashifu na kumchafua hayati JPM kwa kila namna kiasia cha kumuita dikteta. Sasa mbona amekuwa kimya? Huku sasa hivi mayowe kila kona, ufisadi wizi na utapeli wa mali za umma kila mahala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…