Mwandishi ashangazwa maua kutelekezwa baada ya mkutano kumalizika

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ numekumbuka shangazi flani hvi yupo kimara suka kule..

Yaani mwanzoni mwanzoni kabla atuja naniliana alikua yupo very charming daaah.

Baada ya kuzagamuana sijui akapandwa na mdudu gani an ilikua ni hatareee ...

Yeye hataki niwe na simu
Hataki niwe busy
Ataki chochote yeye ni kazi kazi

Nikaona huyu atakuja kuniua nikaamua kumtelekeza kama hayo maua yaani kimya kimya..

Sasa hv ananidanganya na vi party vyake et niende

Nikamwambia""" naijua hiyo mbakaji mkubwa wewe """"
 
Mpe namba yangu ndo nawapendaga wa hvy
 
Yanaanzaga hivyo yakishazingua. Kuna mmoja alizinguaga baadaye anajiletaleta eti baby. Baby mafii yako!

Nyau de adriz
 
Kila jambo kwa kiasi. Duniani hatupo kwa jambo moja tu 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…